Recent content by Maziku luhalala

  1. M

    Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

    Mambo mengine uwe unanyamaza ili ubongo wako utilie ujipange kwa kuandika pumba siku nyingine,CCM ndio inaongoza hii serikali iweje ishindwe kusimamia ujenzi bora na wenye viwango?🤣🤣🤣
  2. M

    Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

    Nyuma mwiko kwa uchawi wanaongoza,kata point ili waache huu mchezo,wananunua waamuzi wananunua wachezaji na uchawi nao umo,tuwaitaje hawa?
  3. M

    Kwanini January Makamba anachukiwa kiasi hiki, kipi amewakosea watanzania?

    Uyu jamaa huwa anajiona yeye ndo mwenye akili nyingi,anathamani kuliko waz wengine,bado na mzee wake kiujumla hatufai kuwa kiongozi
  4. M

    Dada yetu anaishi na Virusi vya UKIMWI, tumwambie ukweli mchumba wake?

    Tupe mrejesho nini kiliendelea tupe bandugu
  5. M

    Singida akitoa hata Draw na Yanga nipigwe Ban week 1. Na Demu wangu wa humu asinipe kitu pia

    Kweli wenye akili ni wawili tu uko utopoloni,IHEFU ilinunuliwa na mwigulu ili nyie utopolo mpumue na kipigo cha uko usangu estate,ndo ikaitwa singida black star,mnajipiga kidole uko nyuma mwiko kisha mnajinusa harufu
  6. M

    Hivi unawezaje kuishi nje ya Dar es Salaam

    Mtu mzima ovyooo,watu wako Dubai ila wamejituliza hawawabezi wanaoishi buguruni malapa,mwananyala na kinondoni moscow we unaishi kwa shemeji yako buguruni sheli maneno kibao
  7. M

    Tatizo la umeme mkoani Tabora

    Ni kweli apa mboka manyema tunateswa sana na hawa taa ya nesco,viongozi na wako kimya,ama kweli mzigo mzito mpe mnyamwezi
  8. M

    TFF na Takukuru ongezeni umakini mechi ya leo kuna tetesi waamuzi wamelipiwa kila kitu!

    Watoto wa baba mmoja,kila kitu kimeshapangwa usiku ni utekelezaji tu,ligi yetu imekuwa ya kuchezwa nje ya uwanja,gsm anajiona yuko bora kwa kununua waamuzi
  9. M

    LGE2024 SHINYANGA: Matukio yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    Mkuu mbona unapotosha watu?! Hakuna wilaya kahama vijijini na wilaya ya ushetu,mkoa wa shinyanga una wilaya 4,shinyanga mjini, shinyanga vijijini,kahama na kishapu,vilevile hakuna jimbo la kahama vijijini,majimbo ya mkoa wa shinyanga,shinyanga manspaa,mbunge wake patrobas katambi,solwa ni yule...
  10. M

    TFF wasipokuwa makini na marefa Yanga atakuwa bingwa bingwa mfululizo!

    Haahah hatupendi kupata ushindi nje ya uwanja
  11. M

    TFF wasipokuwa makini na marefa Yanga atakuwa bingwa bingwa mfululizo!

    Sio hii ya viongozi kupanda ushindi wa nje ya uwanja
  12. M

    TFF wasipokuwa makini na marefa Yanga atakuwa bingwa bingwa mfululizo!

    Ukisoma coment za wanautopolo wanafurahia sana huu ubebwaji wao,wantamani kila mechi iwe hivi,hersi na gsm wanaharibu sana ligi yetu,wamekuwa wapolaji wa haki ili tu waonekane ni bora,klabu bingwa hio inakuja mtapigwa nje ndani sana
  13. M

    LGE2024 Shinyanga: Madiwani wa CCM wadaiwa kupigana hadharani wakati mchakato wa kura za maoni unaendelea

    Mwizi hapendi kabsa kuibiwa,wanaumia wa kufanyiwa figisu je wapinzani wao hawana moyo huo?rejea kauli ya Nape na mkuu wa wilaya Longido,tunaongozwa na tusiowachagua
  14. M

    Hivi leo ni Nyerere day au samia day?

    Wapo bize na kampeni badala ya kilichopo mbele yao,mama anatajwa mara mia nyerere ziro,hii ni samia day
  15. M

    Hivi leo ni Nyerere day au samia day?

    Mambo ya ovyooo sana,akuna kinachoongelewa cha nyerere ni samia tu,pesa zetu zinapotea bure kabsa
Back
Top Bottom