Kimsingi PGO inawatesa sana maana Huwa hawaifuati. Wanachofanya ni ubabe na udharirishaji . Hapo ndipo wanapigwa na Mawakili walishajua udhaifu WAO. Wapigwe tuuuu
Wizara ina miradi mingi, makandarasi wengi wanaotumiwa ni wezi na feki. WIZI kibao wakishirikiana na wataalamu wilayani (wahandisi) miradi haikamiliki......WIZI mtupu, hakuna mahala mradi umeisha bila malalamiko.
Kwa miradi kama hii usitegemee pesa ikapatikana mtaani. Huo ni upande mmoja, raha yake ni kuwa uundaji Wa miundombinu kama hii unaandaa mazingira mazuri hapo baadaye na inahitaji moyo Wa ujasiri sana kusimamia miradi mikubwa mikubwa tu kuipunguza ile inayoenda kupeleka moja kwa moja pesa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.