Recent content by Mazepine

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utaratibu wa kufunga ndoa ya kiserikali

    habari mkuu, Hope mnaendelea vizuri, suala lako la kutaka kufunga ndoa ya kiserekali ulikamilishaga, mm pia nahitaji kufanya hvo kwa ajili ya kumkatia mke bima ase. Nlikuwa naomba Muongozo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jina la sasa la Twitter" X" lina utata sana

    Yaani nina siku nyingi sijaingia twitter sas juzi bhana nikataka nichungulie tena kule, sas mimi nagoogle twitter wenyewe wanaleta × sas nkahisi hyo ni scam, nkawa natafuta kwingine kila nkiandika wanaleta hvo hvo duu, kumbe bhana wamebadili
  3. M

    JamiiForums Tanzania Narudia tena, zinaa zitawamaliza vijana

    Fafanua kidgo mkuu. does it means ubinafsi unaua connections hivyo ndoto inashindwa kutimia? au Baraka unakosa kwa sababu ni mbinafsi or what? eleza kidogo mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu ambayo natamani ningajifunza nilipokuwa kijana wa miaka 20

    itabidi nimtafute nimcheki
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu ambayo natamani ningajifunza nilipokuwa kijana wa miaka 20

    Yupo vizuri sana, kuna mtu mwingine mwenye intresting speeches kama zake mkuu? according to you
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu ambayo natamani ningajifunza nilipokuwa kijana wa miaka 20

    is the best speaker i have found, am not doing all he is saying but am wishing, and i know just wishing is one of the steps. a always wished everyone to listen the man. His english is simple to undetstand God bless him. 1. isnt lack of money is proble, is lack of knowledge 2. to pesmistic...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

    Mkuu nakubaliana na ww kabsa, i once started a thread "nataka kutumia mitandao ya kijamii kwa manufaa tu" Tatizo kubwa ambalo tunalo ni addiction na hii mitandao, unapoteza pesa lakini mbaya zaidi unapoteza muda pamoja na focus. Unakuta siku imeisha hujafanya cha maana zaidi ya kushinda kwenye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kusema ukweli

    70% ya watumiaji wa mitandao ya kijamii tayari wana addiction (uraibu) na mitandao hyo. Amua kukaa na simu yako bila bando week af leta mrejesho. ova
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kusema ukweli

    waogopwe katika nyanja ipi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kusema ukweli

    kuna mwl wangu aliniambiaga usichague ualimu sas, na ww unawaambia wanafunzi hivyo?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    haikuandikwa usifanye ushoga maana Mungu hakudhan kabisa kuwa kiumbe huyu angewaza na kufanya kitu ambacho hata mnnyama hafanyi, however curiosity killed the cat
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi kila siku, hupunguza uwezekano wa kumpa mimba mwanamke?

    Yes inaweza kwa kutegemea vitu vingi lkn kwanza kinacho be affected ni sperm count, hayo mengine ya morpholoy, motility nk hakuna shda. Kumbuka mwanaume anapoejaculate huwa anamwaga 2 to 5mls (like kijiko cha chai) of semen ambazo zinacontain 100 milion sperm in healthy man. Then hzo sperm...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kutumia Mitandao ya Kijamii kwa faida tu lakini nashindwa. Naombeni ushauri

    kazi yangu ni kutibu wagonjwa
Back
Top Bottom