Recent content by Mazaya

  1. M

    GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

    Nadhani aliyechukua fomu ni January Makamba na si Yusuph Makamba.
  2. M

    Hawa Hapa wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia pamoja na kuigawa na kuleta vurugu ndani ya CCM

    Nilivyoona tu umeandika kilipotokea kifo cha Hayati ……….. nikaacha kusoma kwasababu mwandishi ni kihiyo.
  3. M

    GE2025 Pole sana Mrisho Gambo, nadhani umeona mwenyewe unachopanda ndicho utakachovuna. Karibu mtaani

    Maneno mengi lkn huna pointi ya msingi. Ukabila tu umekujaa.
  4. M

    Mguto: suala la ya Yanga kutocheza ni mfupa mgumu Kwa TFF, linapata support na vigogo

    I rest my course!!! Nabishana na shabiki lialia asiye ma abc za mpira. Khs Kanuni za ligi kui msimu huu zitafute zipo mtandaoni.
  5. M

    Mguto: suala la ya Yanga kutocheza ni mfupa mgumu Kwa TFF, linapata support na vigogo

    Nikushauri tu kabla ya kujibu sms ya mtu hebu jaribu kupitia kwa kina kile alichokiandika, Siyo kupitia tu bali fanya tafakuli ya kile alichokiandika, Ukifanya hivyo kuna maswali mengine hutauliza tena. Khs mechi ya round ya kwanza kama Yanga waliomba idhini ya kwenda kufanya mazoezi, Kwanza...
  6. M

    Mguto: suala la ya Yanga kutocheza ni mfupa mgumu Kwa TFF, linapata support na vigogo

    Yes!! Simba walisema hawatocheza mechi husika na kweli hawakucheza!!! Khs mambo ya wewe kufuatilia Derby na kuona ati huwa hawaji kufanya mazoezi bado haizuii timu kufanya mazoezi hayo na si sababu ya kuzuia mazoezi kufanyika. Khs kama kanuni inaruhusu timu isicheze ikizuia kufanya mazoezi...
  7. M

    Mguto: suala la ya Yanga kutocheza ni mfupa mgumu Kwa TFF, linapata support na vigogo

    We ndiye usiyejua Kiswahili au ni kigumu kwako!! Paragraph ya mwisho ina sentensi mbili tu na sentensi zote zina ujumbe tofauti. Sentesi ya kwanza inaelezea ya kwamba Simba hawatoshiriki mchezo husika (kwa maana ya mchezo huo wa tarehe 8). Sentesi ya pili Simba inahimiza kuchukuliwa kwa hatua...
  8. M

    PreGE2025 Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said: Ukifika wakati sahihi wa kutangaza nia basi nitatangaza

    Unafanya kazi ya kuwapokea Kaizer Chiefs, Kuinanga Simba dhidi ya Berkane (second meeting) akiwa na kina Kisinda, Inafanya kazi kwa kukubali kubebwa kama mfalme na Wana Yanga? Au wewe ubongo kufanya kazi unamaana ipi? Huyu hana cha akiki kufanya kazi na akiwa na madaraka makubwa ni mtu hatari...
  9. M

    Mguto: suala la ya Yanga kutocheza ni mfupa mgumu Kwa TFF, linapata support na vigogo

    Muwe mnasoma na kuelewa, Press release ya Simba haikusema hawatocheza mechi mpaka waliosababisha hayo washughulikiwe bali ilisema hawachezi mechi ya tarehe 8, Nawakahimiza Waliodababisha kadhia ile wachukuliwe hatua (Elewa neno kuhimiza ).
  10. M

    Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Dada yangu wala usiteseke, Ulitakiwa haya unieleze mapema mimi kaka yako yangeshaisha. Usihofu next week namimi nakuja kukaa kwako, Sasa itakuwa kaka na dada (Shemeji na Wifi ) nitakusaidia kumuweka sawa huyo wifi yako. Hio imeenda na limekwisha.
Back
Top Bottom