Unawajua watu wa tunduma vzr?? Wale ata waekewe tofari na mgombea yoyote wa ccm litapita tofari mapema asubuhi! Kwanza uyo Silinde ata kwao hawamtaki sembuse tunduma kwenye vichwa ngumu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sio pepo basi tu mbwembwe za mahaba na alinielewa sana....sema ndii ivyo tena mimi mshamba sipendi mambo mengi!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zero umenikumbusha jamaa mmoja hiv alinilamba kikwapa na miguu, aisee alinikera basi ninavyojinyonga kukataa ndio kama namwambia nasika utraamu endelea....nilivyotoka apo ikawa talaka yake na block juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mswaki unapiga kwa usahihi??! Tatizo ni wewe iko kinywa chako na izo sperm zako zinasababisha mwenzio kunuka.......
Sasa cha kufanya uwe msafi km colgate haifanyi kazi mix na sanitizer huwenda una corona[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Masikhara ni jambo ambalo hamjapanga wala kutarajia km litatokea na hakuna bills zozote zitakazolipwa baada ya tendo kutokea.
Sasa watu wanatongozana mpk wanapanga sehemu ya kukutana alafu useme masikhara?!! Ebu tambaeni na beat basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli
Wenzetu wanaumiza vichwa wagundue vitu gani vya kuleta maendeleo sisi tunawaza kudindishana na kukojoleana mara ngapi utasema ni dozi [emoji16][emoji16][emoji16] mara kulana kimasikhara!
Sent using Jamii Forums mobile app
binti kiziwi, Kweli kabisa kuna watu humu ni tabia zao, jitu halina ata aibu linatengeneza mazingira ya kutetea wabakaji km na wao sio miongoni mwao ni nini?!! Eti labda mkewe kamnyima unyumba mara oohoo sio mtoto wake. Hivi ayo yote yanahusiana vipi na kumbaka mtoto km sio tabia chafu tu za...
Kuna watu humu mnatoa ushahuli km ni jambo tu la kawaida!! Hivi mnajuaje kuhusu watoto zenu hawafanyiwi ukatili km huu na wapumbavu wengine km baba wa mtoa post?
Dawa ni kumueleza mama yenu ukweli afe na presha iyo yeye ila ukweli uwekeni wazi ni bora mpate aibu ya kifamilia lakini mkaokoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.