Recent content by Mayova

  1. Mayova

    JamiiForums Tanzania Hivi ni VPN ipi haihitaji kuilipia ?

    Hizi VPN tuna download unatumia free kwa muda wa siku chache tu inaanza kutaka ulipie ndo utumie. Hivi ni VPN ipi haihitaji kuilipia ?
  2. Mayova

    JamiiForums Tanzania Nafurahia sana maisha yangu mapya

    Kwahiyo sass unamiliki mbususa na unataka kupelekewa msolombo sio ?
  3. Mayova

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa umma mwezi huu wa 8 kulikoni

    Mbona mm tayari ninesha pata nyie nendeni bank HELA ZIKO BANK
  4. Mayova

    JamiiForums Tanzania Miaka 42 sasa ya kuzaliwa na 30 ya uzoefu wa ngono sijawahi mpata mwanamke BIKRA

    Maaaaaaaamaeeeeee 😄😄😄😄😄😄😄
  5. Mayova

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUINGIA TWITTER BAADA VPN KUWA HAIFANYI KAZI TENA

    Mwanangu nimerudi kukushukuru kama ulivosema. Wanyama ni wengi kinoma
  6. Mayova

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUINGIA TWITTER BAADA VPN KUWA HAIFANYI KAZI TENA

    Twitter bila vpn hakuna kitu mzee. Mbona mitandao mingine tunatumia unyama tu. Shida twitter bongo wameifungia ndo maana tunahangaika na hizo vpn
  7. Mayova

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUINGIA TWITTER BAADA VPN KUWA HAIFANYI KAZI TENA

    Wazee mambo vip? Hivi kuna mtu bado anaweza kuingia twitter( X)sasa hivi ? Kama yupo naomba anipe maelekezo maana miezi ya nyumba tuseme mwezi uliopita nlikua naingia twitter (X) baada ya kuwasha VPN nlikua natumia secure VPN. Siku hizi VPN haifanyi kazi tena maana yake siwezi tena kuingia...
  8. Mayova

    JamiiForums Tanzania Hivi Kweli Mapenzi ni kitu cha kumliza Mtu?

    Ukiruhusu mapenzi ya kuumize utaumia sana. Sema kuumia hua kunaanza pale umempenda sana demu umemtongoza amekubali mnaishi fresh halafu baadae anaanza kugeuka tabia mdogo mdogo kumbe kuna kidume kinapeleka moto hatari 😀😀😀😀😀 ukiijua hiyo utaumia saaaana
  9. Mayova

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na hii kitu imeingia inaitwa "" 26 pesa""

    Mwanangu we acha tu yani wanabadlisha muundo nakuonekana ni mpya kila siku
  10. Mayova

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na hii kitu imeingia inaitwa "" 26 pesa""

    NAOMBA USOME KWA UMAKINI KABISA Kwanza kabisa Hakuna pesa inayo patikana kiurahisi ,ukiona matangazo kwenye mitandao ya kijamii kama Fb , twitter, instagram wanatangaza kuhusu matumizi ya SMART PHONES ili kujipatia kipato bila kuathiri muda wako wa kazi, tafadhali usiyafuatilie wala kuya tilia...
  11. Mayova

    JamiiForums Tanzania Bei za jumla za vifaa vya electronics kama simu na TV Zanzibar

    Wazee mambo vip? Leo naomba kuuliza kwamba hivi kuna wafanyabiashara kariakoo wanao nunua bidhaa kama vile simu na Tv (electronics ) kwa bei ya jumla zanzibar ?
  12. Mayova

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

    Nakubali
  13. Mayova

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

    Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
  14. Mayova

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

    Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
  15. Mayova

    JamiiForums Tanzania Nataka kujilipua nimtumie huyu jamaa ili aniunge bando la tiGO kwa Tzs 6,500

    Halafu namba yake ya Whatsapp anayotumia ukipiga wanasema haipo ndo uoga unapo anzia
Back
Top Bottom