Wewe ndio ujamuelewa mleta mada, ameongelea malalamiko ya walimu kuhusu maslahi, ndio akazungumzia shida na tabia zao chafu.
Mfano kule Ikunguigazi Wilayani Mbogwe-Geita kuna mwalimu mkuu ambaye amembebesha mimba mwanafunzi na kesi kuishia kwa WEO.
Yeye ameonyesha kutokubaliana na madai yao...
Acha utabiri wako wa uongo hapa, iachie serikali ifanye yake ukweli ujulikane ndo uje urudi hapa useme ni uongo au laa
Naona umejitoa ufahamu kujitetea mwalimu, mleta mada hana ugomvi na mtu ila ameleta mezani uchafu unaofanywa katika ofisi ya mtendaji wa kata sawa.
Sasa wewe kama umevimba...
Ndio mpambane ili serikali iwawekee posho pia kama TA iliokwepo zamani ili muweze kupata pia ya kuonga malaya kuliko kuishia kuwabebesha mimba watoto wetu
Hivi kweli kiongozi wa umeshutumiwa kuhusika na matendo machafu ambayo hatakubaliki katika jamii lakini bado unapewa tu uongozi
Silinde anatuhumiwa hivyo hafai kuendelea kuwepo katika ofisi ya umma, hii ni kulindana
CWT hawajitambui hawapo kwa ajili ya walimu, wapiganie posho yaani Teaching Allowance
Walimu wana hali mbaya, hivi serikali kwa mtazamo wao wanafikiri elimu itaboreka kwa kuweka policy ya divide and rule?
Kwamba mwalimu mkuu apewe posho alafu wengine wengi waachwe, hapa kuna shida nakwambia
Hii posho ya madaraka kwa walimu wakuu,ndi tatizo lingine kwa walimu, walimu wanarogana kisa madaraka, wanabambikiziana vikesi vya ajabu kisa posho ya madaraka.
Niombe serikali ya awamu ya tano hii posho ni divide and rule policy ya mkoloni wote walimu wapewe posho katikati ya mwezi hata kama...
NHIF ni tatizo lingine watumishi wa nchi hii, ni kichaka cha kurudisha nyuma maendeleo ya watumishi wa nchi hii.
Kwanza waruhusu mtumishi hata kama una watoto kumi wote waweze kupata huduma.
Hili NHIF kuwa na idadi ya wategemezi hasa upande wa watoto ni tatizo na ni janga kwa mtumishi, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.