Recent content by Mayo clinic

  1. Mayo clinic

    JamiiForums Tanzania Lissu akitoka gerezani atamkuta Heche kabaki peke yake kwenye Chama. Hapo ndipo watajua kuwa Mbowe alikuwa mwamba

    Hata hivyo hiyo ni mbaya na hatari kwa maendeleo ya nchi yetu.Tuache mihemko,demokrasia ya vyama vingi ni takwa la lazima katika ulimwengu wa sasa.Na watu hata hawajiulizi ni kwa nini ilibidi lazima tuwe na wale walioitwa COVID-19 bungeni.
  2. Mayo clinic

    JamiiForums Tanzania Wanaofeli kidato cha pili,wafuatiliwe kama wanafunzi wengine

    Angalau aendelee kuwa bize huko shuleni wakati umri unaongezeka,labda anaweza kuja kuwa na cha kufanya ktk jamii.Tuendelee kuwapa nafasi
  3. Mayo clinic

    JamiiForums Tanzania Wanaofeli kidato cha pili,wafuatiliwe kama wanafunzi wengine

    Hutokea wengine wanaofeli fom2,baadae akili zinazibuka jumla Hadi chuo wanafika.Wasiachwe hawa
  4. Mayo clinic

    JamiiForums Tanzania Wanaofeli kidato cha pili,wafuatiliwe kama wanafunzi wengine

    Yamekuwepo mazoea mabaya sana ya kutowafuatilia wanafunzi wanaoshindwa katika mitihani ya upimaji ya kidato cha pili.Yaani mtoto na mzazi wanaamua wenyewe kama iwe mwisho wa kusoma au arudie darasa.kunakuwa hakuna ulazima tena. Hali hii imejengeka na kuwa mazoea kiasi kwamba hakuna...
  5. Mayo clinic

    JamiiForums Tanzania Hydraulic seal gear box ya Rav 4 kili time kuisha mara Kwa mara nini chanzo?

    Msaada Kwa wataalam husika juu ya hili tatizo.hydraulic ilivuja ghafla,mafundi wakabadilisha hiyo seal kwenye gear box.Lakini baada ya kutembea masafa kidogo ikajirudia.Shida yaweza kuwa nini hapa wataalam.
  6. Mayo clinic

    JamiiForums Tanzania Nani kati ya Makamu wa Rais na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi analidanganya taifa kuhusu suala la Samaki?

    Kwani ni lazima kila jambo litatuliwe Kwa matamko kwanza? Mambo mangapi serikali inayadhibiti bila raia kujua?
  7. Mayo clinic

    JamiiForums Tanzania Kichwa kuuma kuanzia saa 10 jioni

    Amina
  8. Mayo clinic

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kutumia dawa ya kisukari na kupona?

    Dm2, inawapata wazee au wanaoelekea uzeeni,hivyo mazoezi ni changamoto Sana ingawa ni kweli yanasaidia
  9. Mayo clinic

    JamiiForums Tanzania Kichwa kuuma kuanzia saa 10 jioni

    Naombeni msaada wataalam.Ninapata maumivu ya kichwa na mabega kuanzia jioni ya saa kumi.sina homa ingawa naishi na kisukari kwa muda mrefu na kipo well controlled.Nimepima malaria sina,uwingi wa damu ni 14g.Yaweza kuwa shida gani?
  10. Mayo clinic

    JamiiForums Tanzania Rais mteule wa Kenya William Ruto ni mtu wa aina gani? Tanzania itegemee nini kutoka kwake?

    Nasikia mahindi anayopata shambani kwake,ni mara 3 ya mahitaji ya Kenya,hivyo tusitarajie tena soko la mahindi Kenya
  11. Mayo clinic

    JamiiForums Tanzania Tatizo laweza kuwa lipi kwa hii RAV4 kili time?

    Huyo jamaa mfupi,tunaweza kupata jina lake tafadhali
  12. Mayo clinic

    JamiiForums Tanzania Tatizo laweza kuwa lipi kwa hii RAV4 kili time?

    Asante sana mkuu
Back
Top Bottom