Recent content by Mayatimapombe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

    Lissu, amechagua awe upande wa wafadhili wake na siyo waTanzania
  2. M

    JamiiForums Tanzania Anayemiliki mabasi ya Kilimanjaro ni Tajiri wa ajabu kweli kweli

    Nilishaonya mwaka jana, mabasi yatachinjachinja TU! Na Bado! Funga Safari tokea Mwanza saa 10 USIKU kwenda Arusha, na Kwa mwendo wako wa kawaida! Hutafika Babati kabla ya mabasi ya saa 12 asubuhi hayajakupita!🥺🤔. Kwenye kona, hasa Dar-Mbeya, tahadhari!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anayemiliki mabasi ya Kilimanjaro ni Tajiri wa ajabu kweli kweli

    Nenda Kwa New Force upate mwendo POA!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM mmeamua kutusaliti wananchi, Tunaenda kukumbwa na njaa kubwa hali ni mbaya

    Wasemeje, na wao NDIYO WANAUPIGA MWINGI kuvusha chakula kwenda nchi jirani, kisafirishwe kwenda, Somalia, Ethiopia, SS, Uganda, Sudan nk
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mabeyo kazawadiwa hii ndinga. Tafakari!

    Nawashangaa waafrika, mukiambizwa kutoka ugaibuni munayaamini kama Mungu. Hata ya JPM muliambiwa hivyo hivyo! COVID ipi unapata Jumapili then die Monday!🤔🥺. Jumamosi Nkurunzisa was playing football!Hata machinga wa Kirundi waliofurika Nairobi wanajua kilochomuua Nkurunzisa, ISIPOKUWA BONGO LALA...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu ni mtu Hatari sana kwa Ustawi wa Taifa Staarabu. Ana Uhatari Mkubwa katika kauli zake

    Kwamba mtu kama Generali hakuwa na kitu hata kimoja kizuri kuhusu Mkapa, ilionesha ni mtu mbinafsi na mwenye chuki za kina, kama makundi mawili ya nchi jirani! BBC walirudia swali Mara kadhaa, na yeye akendelea kumponda Marehemu, hivyo hivyo Kwa Magufuli! Waliowaruhusu kuweka mpaka account za...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Katika hili, nafikiri marehemu Ruge hakuwa mstaarabu

    He suppressed musicians and fir skirt wearers, he didn't spare any, and under duress! He was a cannibal and Dudubaya was frank enough to open Ruges skeleton cupboard, and no wonder government had no case against him! Diamond is only one of few with human heart!
Back
Top Bottom