Jaman hii msiishangae sana, bora kajua mapema kabla hajaapa, cku hz kuna kasumba, hakuna kufanya had ndoa, juz ilitokea jamaa hatak had ndoa, haya chereko zikaisha, kumbe hata jogoo hawik hata kushtuka, jaman haya c majaribu? Kuuziwa mbuz kwenye gunia? Huyo mdada achague moto au barid ili...