Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!

Kuolewa hakuna mwisho,hata ukiolewa na 78 yrs bado ni ndoa.........have fun,love yourself and do what makes you the happiest,life is short and there is no guarantee that when married everything will be smooth.......chelewa as much as you can,when you are comfortable and you meet someone.....go ahead!!
Hiyo si ndoa ni Doa.
 

  • baadhi ya wasichana huyaelekeza macho yao kwa wanaume matajiri wakisahau kuwa hakuna mtu aliyezaliwa na utajiri bali hata masikini wa leo anaweza kuwa tajiri baadae.
  • baadhi ya wasichana wanapenda na kutamani kuwa na wanaumme wazuri sana kuliko wote amabao hawapo.
  • baadhi ya wasichana hawajishughulishi kabisa na kujiweka katika hali ya kuvutia wakiamini kwamba mungu atawaletea tu. Hata wawe na tabia nzuri au mbaya.
  • baadhi ya wasichana wakivishwa pete na baadae kutelekezwa na kuachwa huamini kuwa wanaume wote duniani hawafai tena na huwachukia wanaume wote.
  • baadhi ya wasichana wanajifanya ni wa daraja la juu sana na mwishowe hufanya kiburi na hatimae wanaume wanawakwepa.
  • baadhi ya wasichana wana tatizo la kutokujiamini na wanawaogopa wanaume kupita kiasi.
  • baadhi ya wasichana wanapenda kuolewa na watu wa kabila lao au watu kutoka kijiji kimoja ambayo , ambapo pale mahala wanapoishi kwa sasa huwa vigumu kupatikana !!!

dawa yao hawa wote ni kwa mwanaume husika kuwa muongo, aangalie upepo unakoendea ili amdanganye msichana mpaka ampate
 
okay kwa issue sio kuwa hawaolewi but wanachelewa kwa sababu ambazo wewe umezitaja , ndio ujue kila mtu anachoice ya mtu anayetaka kuishi naye mwingine anataka handsome akimpata hata kama yuko 34 roho imelizika anaolewa!mwingine anataka mwenye mapesa so hadi roho ipate kitu inapenda ati?kwani wewe utaoa mwanamke ambaye is not of ur dream???anaweza asiwe na vigezo vyote ulivyotamani but ukimpta mwenye 80% lazima utangaze ndoa.
34 miaka? Huyo si ndo munamuita mwanaume
suruali?
 
@kipipi nakubaliana nawewe, mbona na wao hawaonyesh yanayowafanya wachelewe kuoa? Kila m2 anamipango yake c lazima mwenzako akiolewa na wewe uolew kwa kuiga, hapana jaman.
 
Sasa vijana wenyewe nyie usumbufu tuuuu, kesho huyu, leo huyu, jana huyu.
Hunisaidii chochote, nikiuomba vocha unasema, nikiwa mchafu unasema, nisipovaa vizuri unasema.

Daaa ama kweli dunia ina mambo.

M
Nani kakuambia kama hiyo mizee imetulia? We unafikiri kwanini mabinti wengi
sasa hivi wanatumia 'mzee' hata kwa kijana? wamezoea wazee ndio kiboko
kwa sababu pesa wanazo na ndo maana hata baa nyingi ukienda nyimbo zinazopigwa ni
za kizee.
 
we wa wapi, nieleze bana labda ni kijiji kimoja mi natoka kishumundu!
mimi sitokei huko yaani hamna mwanaume yeyote wa hcho kijiji hapa nilipo na nikiwaambia tuoane niwalete mjini hawataki
 
@kipipi nakubaliana nawewe, mbona na wao hawaonyesh yanayowafanya wachelewe kuoa? Kila m2 anamipango yake c lazima mwenzako akiolewa na wewe uolew kwa kuiga, hapana jaman.
1.Hali mbaya ya kiuchumi
2. Muda mwingi masomoni
3.Kutopata chaguo sahihi
4.Mahari kubwa
5.Kumalizia utamu wa ujana
6.Idadi kubwa ya wanawake kiasi cha mtu kutumia muda mrefu katika kuchagua na kuonja
Hizo no.6 na 5 hazinihusu kabisaaaaa
 
mimi sitokei huko yaani hamna mwanaume yeyote wa hcho kijiji hapa nilipo na nikiwaambia tuoane niwalete mjini hawataki
Niambie bana maana huko kishumundu ni upande wa mama
tena alihamia tu kwenda kulima nieleze labda kijiji chetu ni kimoja
kwani hata mimi nataka wa nyumbani!
 
1.Hali mbaya ya kiuchumi
2. Muda mwingi masomoni
3.Kutopata chaguo sahihi
4.Mahari kubwa
5.Kumalizia utamu wa ujana
6.Idadi kubwa ya wanawake kiasi cha mtu kutumia muda mrefu katika kuchagua na kuonja
Hizo no.6 na 5 hazinihusu kabisaaaaa

Hakuna tabu kama hapo
kwenye namba 6.
Yani unapata tabu kweli
kuchekecha.
Unatafuta 10 bora.
Unaenda 5 bora. Na unakuja 3 bora.
Kazi ipogo kwenye kupata
mmoja ndo awe mkeo!
 
niambie bana maana huko kishumundu ni upande wa mama
tena alihamia tu kwenda kulima nieleze labda kijiji chetu ni kimoja
kwani hata mimi nataka wa nyumbani!
sitaki mxer yaani nataka wa mita chache tuu toka home yaani awe jirani kabisa kule kijijini kwetu
 
Back
Top Bottom