Recent content by Mayai Mbili

  1. Mayai Mbili

    Harufu ya mwili

    Mwambie Kuna deodorant nzuri zinauzwa somewhere ikiwezekana mnunulie Then umpatie... Akichukia poa ila ujumbe umefika
  2. Mayai Mbili

    Alitaka kuchoma nyumba yetu kwa sababu ya sh 20 ya mazingaombwe

    Booked dah hapa siyo kwangu 😂😂😂😂
  3. Mayai Mbili

    Mwanaume kulia si udhaifu, kuna faida kiafya ukulia

    Me wa kiume mkuu hii hali inanitesa inaninyima vingi pia ...Sijui wewe ni me au Ke?
  4. Mayai Mbili

    Mwanaume kulia si udhaifu, kuna faida kiafya ukulia

    😭😭😭😭😭 nifanye niniisasa
  5. Mayai Mbili

    Mwanaume kulia si udhaifu, kuna faida kiafya ukulia

    thanks mkuu mara yingi huwa ninaondoka na hasira zangu huku machozi yakinilenga ila now Nitajitahidi nijaribu ulichonishauri Mkuu
  6. Mayai Mbili

    Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

    😂😂 na Sakayo sweet manka na wengineo wengi
  7. Mayai Mbili

    Mwanaume kulia si udhaifu, kuna faida kiafya ukulia

    Dah tupo sawa mkuu.. Sijui kwa nini Ngumu mkononi... Kika siku naambiwa kuwa nitakosa mtu wa kuishi nae ...Najikuta nikiwaza sana ila lazima nilishinde hili kabla Sijafikia Age Fulani..
  8. Mayai Mbili

    Mwanaume kulia si udhaifu, kuna faida kiafya ukulia

    Kweli mkuu mimi ni kijana mdogo... Nitaufuata ushauri wako
  9. Mayai Mbili

    Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

    nimepitia uzi wa mdada mmoja anaanza na S natamani kuanzisha Kapo nae ya humu humu JF nje ya hapa hapana Tusijekuchomoleana Betrii
  10. Mayai Mbili

    Mapenzi yamenibadilisha mno

    Ahsante kwa kudanganya msela wangu... Paka haishi na msela...
  11. Mayai Mbili

    Hizi hapa Aina za mapenzi

    Sawa mkuu nenda Jalalani pale Peleka Utafiti wako uitwe propesa... Propesa MASSHELE
Back
Top Bottom