Recent content by Maxwell jk

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kulipiwa kila kitu na mwanamke ni aibu

    Asa umemshangaa kivip? Kwanza nampongeza jamaa ana heshimu bajeti na ratiba zake,kwnn?,mtu nilikuwa sina ratiba ya matumizi hayo nimeitwa kwa kiherehere chenu kwahyo unataka nisaliti mipango yangu ili kukufrahisha ww?
  2. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mlandizi : Kiwanja Cha Ukubwa wa Hekari 2 na Nyumba ya Wafanyakazi inauzwa

    Ntumie namba yako DM
  3. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mlandizi : Kiwanja Cha Ukubwa wa Hekari 2 na Nyumba ya Wafanyakazi inauzwa

    Huyu mwenye hii post nahis kama anacheza minds game, kwann?,for first time anaweka tangazo nilichukua namba ambayo aliweka ili tumtafte ila kwa bahati mbaya ukimpigia simu anasema yeye hana kiwanja hicho na hajui jambo lolote kuhusu kuuza kiwanja .
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi Wamesitisha matumizi ya ticket kwa watu wazima mpaka uwe na card halafu upatikanaji wa card ni Gerezani na kimara pekee

    Ndo mkome mlishapewa taarifa Karibu miezi 3, sshv ndo mnalalama
  5. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ijayo siasa za Tanzania zinaweza kuamuliwa na Wasukuma kama ilivyo wakikuyu Kenya

    Ww ni mjinga na hata andiko lako lina dhihirisha upumbavu wako,,embe nipe maana wasukuma kuwa washamba,, nyie Vitoto mnaozaliwa njiti kifikira mna matatzo sana ,,Wasukuma ni jamii iliyoamua kukubali kuishi maisha yao yatamaduni zao za asili bila ku feki maisha ww uko tandika mbavu za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze umuhimu wa kufanya Fumigation sehemu zifuatazo, Nyumbani, Ofisini, Shuleni na kwenye Maghala

    Mheshimiwa sijaelewa concept yako
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze umuhimu wa kufanya Fumigation sehemu zifuatazo, Nyumbani, Ofisini, Shuleni na kwenye Maghala

    FUMIGATION ina jumuisha mambo mawili 1.Kunyunyiza 2.kufukiza Watu wengi wamewahi kuona FUMIGATION ya kunyunyiza ila hawajui kuhusu FUMIGATION ya kufukiza,,, Hii inasababishwa na ukosefu wa Elim katika jamii kuhusu jambo hili. Kwa mfano kuna watu wengi hupita mitaani na kujinasibisha kuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

    Waswahili swqhili wengi ni wapumbavu sana ,,yaani jamii flani ikiamua kuishi katika tamaduni yake inaitwa washamba ,,wasukuma siyo washamba ila wameamua kuishi katika uhalisia wao hawataki kue dit maisha asa wee mjinga mjinga ndo unaona huo ndo ushamba,,,okay umeulizwa toa maaana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanga ikifuzu robo fainali leo, basi naitabiria kufika fainali ya CAFCL

    Na lazima ifuzu iwe jua au mvu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu Makabila Makubwa Maarufu Yanayounda Kanisa la Wasabato

    KUNA HILI AIC LENYEWE LINAUNDWA NA WASUKUMA2
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uendawazimu, ujinga na uvivu wa kufikiri ndo unawaliza watu juu ya uhamisho wa Mch. Kimaro

    Jana ndo nimeamini kuwa ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni,,, ■Mkiristo una mlilia mtu anayeeitwa mchungaji na mpaka unaandamana???? ■Jana ndo nimeamini kwenye ukristo wetu tuna watu wengi wajinga kuliko hata wanaojielewa na kuelewa misingi na ethics za imani yetu. ■Jana ndo nimekumbuka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

    Hata Mussa aliazisha safari ya kutoka misiri kwenda kanaani ila hakufika ,so mm naona watu wengi mnasumbuliwa na ujinga uliojaa giza nene kuhusu imani,,,can you imagine mtu mzima na akili yako eti unalia na kuandamana eti kisa mchungaji kuhama aisee!!!Mungu atusaidie,,lia Mungu akikuacha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli waarabu hawana akili, nakupa fact hizi hapa

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watakuua
Back
Top Bottom