Uendawazimu, ujinga na uvivu wa kufikiri ndo unawaliza watu juu ya uhamisho wa Mch. Kimaro

Maxwell jk

Member
Jan 1, 2023
9
4
Jana ndo nimeamini kuwa ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni,,,

■Mkiristo una mlilia mtu anayeeitwa mchungaji na mpaka unaandamana????

■Jana ndo nimeamini kwenye ukristo wetu tuna watu wengi wajinga kuliko hata wanaojielewa na kuelewa misingi na ethics za imani yetu.

■Jana ndo nimekumbuka tukio moja Uganda la mchungaji kuwateketeza watu kwa moto kwa kuwaambia kuwa umefika mwisho wa dunia.

■Nilichogundua ujinga huu chanzo chake ni uvivu wa kusoma Bible na kufanya maombi. Maana Bible inasema ''Mambo ya rohoni yatambulika kwa jinsi ya rohoni na mambo ya mwili yatambulika kwa jinsi ya mwili.,,

■Mungu alifanya kazi na Musa miaka mingi sna toka misiri Musa alikuwa kipenzi cha Mungu,,Musa ndo alikuwa anaongea na Mungu ana kwa ana,,ila alipo zingua Mungu alimchukulia hatua bila kujali status yake ya nyuma ,,pale pale Mungu akainua mwanaume mwingine wakuitwa YOSHUA kazi ikaendelea,,hakuna mahali Bible inasema baada ya Mungu kumuondoa Musa wana wa Israel walilia au kuandamana,,jaman shida imani sikuizi zinaonekana ni kama ziko kwenye himaya za watu.

■Mwisho acheni ujinga wa kulilia mtu,, lia sna siku Mungu akikwambia amekuacha ila siyo kulia eti mchungaji wako kahama huo ni ujinga uliojaa giza nene.
 
Viongozi KKKT waache ubabe. Kama mtu anapendwa na watu na wanamhitaji kiroho kwanini Kanisa linamsimamisha?
 
Back
Top Bottom