Wakuu mambo n vipi...
M leo nataka tujadili na upande wa Dubai pia..
America au Canada cost yake sio ndogo kama ndo unajitafuta but kwa Dubai ni karibu atleast ..
Hakuna mwenye ufahamu wa namna na kujilipua hadi kupata kazi uko Uarabuni..
Then ndo ntawaza kwenda states baada ya kupata kibunda...
Umu ndan kila mtu mjuaji sanaa .uhalisia n kwamba anaetafuta skuzote hakati tamaa.
Chamsingi nauli + pesa ya kujikim ukifika huko wakat unatafuta mishe mishe izo habar za dollar 25000 . Siunafungua kampun kabisa aseee
Tuache kutishana
M nikiwa na m4 nafika na naanza mishe mishe .. nyie wa dollar...
Ila humu kuna watu wapo kwa ajili ya kukosoa na kupinga ata kama hajui lolote..
Kama huwezi wew waachie wengine wanaoweza jaribu .. wakashindwe wenyewe sio kukosoa kosoa tuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.