Recent content by maxmhozya

  1. maxmhozya

    Nauza vitabu hivi kwa lugha ya kiswahili

    Nahitaji sana hivyo vitabu
  2. maxmhozya

    Saratani ya Tezi Dume

    Okoa maisha yako dhidi ya Tezi Dume inauwa
  3. maxmhozya

    Offer ya Website kwa 50k Tu.

    Nahitaji aisee Mimi niko DSM
  4. maxmhozya

    Majaribio ya mbegu

    Habari wana JF, Nimekuwa nikijaribu sana kuweza kuotesha mazao mbalimbali katika bustani yangu Salasala hii yote ni kutaka kujifunza zaidi kwasababu ni kazi nayoipenda sana. Zoezi 1 Nilijaribu kuotesha mbegu mbalimbali za machungwa, chenza na limao kupitia machungwa tunayokula na pia...
  5. maxmhozya

    INAUZWA Lamination machine na monitor zinauzwa @tsh 50,000

    Lamination nzima haina tatzo lolote?
  6. maxmhozya

    Tigo Mungu anawaona

    Mimi iko tofauti kidogo sasahivi Nikiweka vocha bila kujiunga haki ya mungu internet haifunguki hadi nijiunge sijajua kwanini hata pawe na salio lazima kwanza nijiunge ndo nipate huduma
  7. maxmhozya

    INAUZWA Nauza duka la dawa muhimu (DLDM)

    Bei nzuri kabisa sema wote waliokoment hakuna wanunuzi ila kila la heri hilo duka liko vizuri na mazingira rafiki ni ubunifu wa mnunuzi tu kuongeza huduma
  8. maxmhozya

    Computer4Sale Naiuza Hp elitebook core i7 tsh380000

    Nahitaji mtu tufanye exchange anipe laptop
  9. maxmhozya

    Computer4Sale Laptop Dell Latitude core i5 inauzwa bei poa

    Mashine hii iko vizuri Sana inatoa nakala 35 kwa dakika inapiga kazi tatu unaweza uza kwa Bei nzuri tu ila Mimi nahitaji laptop
  10. maxmhozya

    Nina Diploma in Film Production, natafuta kazi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] fact kabisa
  11. maxmhozya

    Car4Sale RAV4L Namba A inauzwa: Dar es salaam

    Bei inanitisha kuwa gari zima au la naitaka kabisa
  12. maxmhozya

    INAUZWA Nauza Printer na Laptop

    0657709912
  13. maxmhozya

    INAUZWA Nauza Printer na Laptop

    Mimi nina desktop kubwa ina hard disk gb 500 inaweza ikatumika kwenye shughuli mbalimbali hasa za cd na nyingine nyingi vipi tunaweza ongea tukaganya exchange?
  14. maxmhozya

    Nina Diploma ya Takwimu natafuta kazi

    fani nzuri bro hiyo kwanza diploma ya takwimu ulisomea wapi pia nitafute nikupe fursa jinsi gani ya kupambana piga namba 0657709912
  15. maxmhozya

    Nahitaji mtu awekeze kwenye stationery niisimamie

    Hapana siwezi kimbia navyo kwasababu niliangalia kwanza sehemu ninayo ishi nikaipa kipaumbele lakini sehemu yoyote ile napiga kazi vizuri tu haina shida ema lazima muwekezaji tamshauri kama ina faa au vipi kama ina faa kazi tuna piga mana naangalia location jee ni rafiki? kama ni rafiki tuna...
Back
Top Bottom