Recent content by maxJr

  1. M

    Safari ya Israel kua statehood

    Yaani we jamaa hupaniki na wala hutumii lugha chafu, walio wengi wanaojaribu kubishana na wewe naona wanatumia hata lugha za kuudhi na kejeri lakini wewe unawajib kwa staha na kwa Weledi na mifano !! Ahahaha mi imebidi niwe msomaji tu sasa .
  2. M

    Safari ya Israel kua statehood

    Nimesoma Uzi wako wa awali, nimesoma jinsi unavojibu kwa Hoja, niishie kusema una uweledi wa halia ya juu katika sanaa ya mabishano na kujenga Hoja, hata kama kuna baadhi ya point inaweza kuwa ngumu kuamini kwa sababu kadha wa kadha lakini nabaki kukiri wewe ni Mjenga Hoja mzuri sana Ndg...
  3. M

    Je, huu ni ukweli uliofichwa kwa miaka mingi?

    "....kama hamtaniambia mamlaka ya Yohana yalitoka wapi, nami sita waambia mamlaka haya yanatoka kwa nani" Busara inaishi nawe kwa jibu lako hilo la kikristo. BARIKIWA SANA MKUU
  4. M

    Je, huu ni ukweli uliofichwa kwa miaka mingi?

    Kaka unitag, niliwahi ambiwa na jamaa flani wa JW kuwa kuna watu ni watakatifu na wana wasiliana na MUNGU live, nao watakuwa miongoni mwa wale 144,000 watakao tawala pamoja nae... Ni ajabu sana aisee
  5. M

    Je, huu ni ukweli uliofichwa kwa miaka mingi?

    [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
  6. M

    Je, Israel ya sasa ni Taifa teule la Mungu au ni propaganda tu za kanisa?

    DAH: ELIMU MNAYOTOA NYIE WATU WAWILI NI YA PEKEE SANA, napenda mnavojadiri kwa kutumia hoja na mistari kutoka kitabuni!!! Ni ajabu sana, MUNGU awatunze aisee
  7. M

    KIDON, unawajua hawa? The deadliest killing machine

    Bro mie natafuta soft copy ya Moshe Dayan kitabu kinaitwa THE DUET IN BEIRUT
Back
Top Bottom