Recent content by Maximum enjoyment

  1. M

    Mke mtarajiwa upo wapi, bado nakusubiri

    Habari, Natafuta mwenza wa maisha. Ambaye tutapendana kwa dhati umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Mm ni mfanya biashara mwenye umri wa miaka 37. Karibu pm tuyajenge
  2. M

    Natafuta rafiki wa kike

    Naitwa kelton natafuta rafiki wa kike baadaye aje kua mkewangu, Elimu yangu darasa la Saba, mjadiriamali mdogo,umri 31,mahali,nilipo dar . Sifa nimtakaye awe tyr kupima HIV,mwenye upendo wa kweli. Kama upo tyr njoo pm tuyajenge ,
  3. M

    Natafuta mke wa kuoa 0689899165

    Habari, natafuta mke wa kuoa umri wangu ni miaka 30',elimu yangu niyakawaida, kazi nimejiajiri Karibu sana, mke Awe na umri 25-28,karibu sana. Wasiliana nami Kwa Namba 0689899165 Au pm
  4. M

    Natafuta rafiki wa kike

    Hello,
  5. M

    Natafuta marafiki wakubadilishana mawazo

    Habari wana jf natafuta marafiki wakubadilishana mwazo jinsia zote. Mimi ni mwanaume naishi dar umri wangu ni miaka 32 Kwa anayetaka aje pm
  6. M

    Nahitaji rasilimali watu wa kushirikiana nao ili kufanya miradi nao na hatimaye kulegeza vyuma

    Watakao ungana ni watu wakubwa sana,sio wa kuokota makopo kama tutapofikia kus na kiwwnda hicho.muungano wetu katika suala zima namna ya kufika malengo watao kua watayari tuta kaa kikao nakujadili tutumie njia ipi positive ili kukamilisha
Back
Top Bottom