Nadhani tushirikiane to push our Govt kuondoa such restrictions sio kwa JF tu bali kwa mitandao yote.
Tunajaribu upande wetu, ila nanyi wananchi msichukulie kama ni jambo la kuachwa lipite tu.
Kuna vitu tunajaribu kuhakikisha kwanza; issue sio technology ya kufanya hivyo.
Changamoto ipo kwenye kuhakikisha watu hawajikuti wanaaacha taarifa zao binafsi wakati wa kufanya hivyo. Ndo maana Audio Chats zilianzishwa hapa, then tukaondoa within 2hrs baada ya wadau kuanza kuongea mambo ambayo...
Mkuu,
Tools hazijawa deployed, mnazikataa? Labda baada ya kuzijaribu ndo mzikatae.
Kingine kilichopo, ni kurahisisha kwa wageni kufanya translation ya mjadala instantly kwa lugha wanayoelewa.
Pia, kuna kuandaa kufanya summary ya mjadala mzima kwa mtu ambaye anakuta ameachwa ili ajue nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.