Recent content by max as well

  1. M

    Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Lefa kawapa penati watoto wa tabora wanapiga goli za uhakika
  2. M

    Niliemuamini ni kondoo kumbe ni chui duma

    Mzani umenepa kwangu,niliamini kumbe sie
  3. M

    Niliemuamini ni kondoo kumbe ni chui duma

    Mkuu kunamda tunamchungaza kwanza Bata usije kula nyama ya punda badala ya Bata,kumjua adui hua ni ushindi mkubwa sana,hata ukiamua kumfundisha utachagua njia gani ya kumfundisha na akakaa sawa bila kuleta madhara
  4. M

    Niliemuamini ni kondoo kumbe ni chui duma

    Tena anatumiwa mtu wa mitandaoni hata hamjui,(japo ni Mimi) via fake account,je watu wake watiifu yanayofanyika sirini si makubwa,
  5. M

    Niliemuamini ni kondoo kumbe ni chui duma

    Nimesema hakua muislam elewa
  6. M

    Niliemuamini ni kondoo kumbe ni chui duma

    Hapa ndo namtrace mala ya mwisho kuusu kwa mpalange,Hadi sasa anadai anapenda kunyonywa mknd ila sio anal sex,muda si mwingi atanasa tu,
  7. M

    Niliemuamini ni kondoo kumbe ni chui duma

    Kutrace ni hata kuchungulia sms za kwenye icho kitochi sio mpaka kutrak,au nunua lain mpya Anza kumpanga upya
  8. M

    Niliemuamini ni kondoo kumbe ni chui duma

    Mkuu niliwai fika hatua mbaya sana ad kuwaza kujeruhi au kuua mtu kisa kuumizwa/usaliti, Hii inanifanya niwe makini sana kumtambua mtesi wangu wa badae kabla sijaingia matatizoni,hivyo vetting before trust ni lazima
  9. M

    Niliemuamini ni kondoo kumbe ni chui duma

    Hata atoe milion sitoi mkuu
  10. M

    Niliemuamini ni kondoo kumbe ni chui duma

    Kifupi tu nilikutana na Binti mtaani nikashoboka namba, akanipa mtoto ni pisi iliyonyooka mavaz juu kafunika Hadi macho(ila si muislam) Nikaomba urafiki akanikubalia, nikaenda chapu kwenye lengo kuu(sex), mtoto kagoma anaitaj ndoa, akaanza kuniingia kwa fikra, ananishauri mambo makubwa...
  11. M

    Kwenye hili Sekretarieti Ya Utumishi ni Sahihi?

    Mkuu lengo la interview ni kupunguza watu,unazani watatumia njia gani kupunguza watu, Miaka yetu tulikua tunazama kwenye interview unaulizwa shati lako linavisikizo vingapi,ukikosea ni out, Hivyo lengo la interview ni kupunguza watu,mjiandae na maswali yoyote
  12. M

    Kwanini ukimeza punje za vitunguu swaum mwili unaanza kuleta ghasia?

    Hua ni tiba naisi ya Typhoid,niliwai pata homa nikapiga mseto dozi mbili lakini wapi,Ile namaliza dozi nilipata homa Kali baridi Kali nilitafuna punje kama 6 ndani ya nusu saa homa yote kwisha,ila nilisweti balaa
Back
Top Bottom