Recent content by MawKi

  1. M

    Muziki wa Injili Katika ''Kilabu cha Pombe''...!!!

    Nafikiri mtoa mada aliizugumzia maada hii alikuwa na lengo zuri la kutaka kujua jambo na mimi pia nilishawishika sana au nashawishika sana kutaka kujua baadhi ya mambo ili nipembue mambo fulani, mimi nilifikiri ni busara au angetokea mtu wa busara kunijibu swali langu ningemshukuru sana kwa...
  2. M

    Manyanyaso tunayofanyiwa na hawa jamaa wanaojiita wanaokata "Wrong parking"

    Inakera pia ni kinyume cha sheria kumkamata dereva eneo ambalo hakuna alama inayomuonesha kwamba pale haruhusiwi kupaki au kusimama kwa sababu dereva ni mtu anaye ongozwa na sheria na alama za barabarani kwa mujibu lesen yake inavyojieleza mfano dereva anayetoka Mwanza hajawahi fika dar hata...
  3. M

    Muziki wa Injili Katika ''Kilabu cha Pombe''...!!!

    duh nahii nayo Mungu ameelekeza au ni namna moja ya kuwafanya watu tufikie kwenye lengo linalokusudiwa na walimwengu?
  4. M

    Muziki wa Injili Katika ''Kilabu cha Pombe''...!!!

    Samahan wadau mnaoshiriki katika hii mada Mimi bado nahitaji kujua uhalali wa hizi nyimbo kutumbuizwa bar, night club nk wanaojua mambo nawaomba mnifafanulie zaidi wandugu ili nipate kujua, kuelewa na kushawishika ili kuepuka kila mtu kujibu kwa utashi wake unampeleka wapi bila kujali Mungu...
  5. M

    Ponda azusha mapya

    Kushauri waislam waache kuongea nisawa na kusema subiri nikuchome kisu lakini usipige kelele mimi nilifikiri utaishauri serikali iunde tume ya kuchunguza haya maneno au malalamiko ya waislam ni ya kweli au propaganda mimi nadhan ndio ungekuwa ni ushauri sahihi kuiambia serikali iyapokee...
  6. M

    BAKWATA iliundwa na nani?

    Mi nadhani hilo halikuwa lengo la waislam wenyewe kwa sababu kama waislam wenyewe kwa wakati ule wangeona kama kuna haja ya kuwa na chombo kama BAKWATA wangeiomba Serikali kuwafanyia hivyo lakin SERIKALI kwa wakati ule kwa utashi wake na kwa malengo yake ambayo impact yake tunaiona hivi sasa...
  7. M

    BAKWATA iliundwa na nani?

    Mi nafikiri umefikia wakati kwa hili baraza (BAKWATA) kuvunjwa na kuachiwa Waislam wenyewe kuunda Upya baraza lao wanalolitaka wao wenyewe kwasababu hakuna mantiki kundi fulani kuundiwa chombo cha kuwaendesha na watu wengine hivi tujiulize wameanzishiwa hicho chombo kwa malengo gani??
  8. M

    Hawezi " ku sex " mpaka ashikilie na mkono

    Mshauri apende kutumia mchanganyiko wa Unga wa Mdalasini nusu kijiko cha chai na Asali vijiko viwili vya chakula(kijiko kikubwa) atumie mara nyingi nyingi tu, matokeo yake huwa kama bunduki
  9. M

    Looking for the job as a Driver

    Nawashukuru ndugu zangu mnaoendelea kunishauri lakin pia nawaomba wenye uwezo kuniajiri wanipigie au wanaojua mahali ilipo ajira wanijulishe sim yangu +255 784 580501
  10. M

    Looking for the job as a Driver

    Asante kwa ushauri, ila nilienda kule wakanijibu deadline ilikuwa ni jana Jumatano kwahiyo mimi nimechelewa
  11. M

    Looking for the job as a Driver

    Asante kaka nitafanyia kazi ushauri wako
  12. M

    Looking for the job as a Driver

    Asante mkubwa nashkuru kwa ushauri nitaenda kujaribu
  13. M

    Looking for the job as a Driver

    Asante ndugu
  14. M

    Looking for the job as a Driver

    Asante ndugu yangu
  15. M

    Looking for the job as a Driver

    I am a Tanzanian driver who hold Class C, C1, C2, C3, D, E, A, B, & G also I have grade One, Two, PSV and VIP advanced Driving Certificate from NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT (NIT) I can write and Speak Kiswahili and English fluently please call +255 784 580 501
Back
Top Bottom