serikali ya ccm ni ya kulindana, hapo hakuna kitakachofanyika. vijana tujitambue tuokoe taifa letu. kutoka kuuza unga, meno ya tembo na faru, hadi kubaka watoto yatima na kuambukiza ukimwi. ubinadamu uko wapi?
wabunge wa ccm hawapo kwa ajili ya masilahi ya taifa bali ya matumbo yao na familia zao, ndo maana huunga mkono hoja kwa asilimia 100. fikra zao ni vinyu hawawezi kufikri mbali. tumechoka watanzania tunahitaji mabadiliko
cha msingi sii kubomoa nyumba anayojenga mwenzako kwa sababu yako ni ya zamani. busara ni kuikarabati ya kwako japo haiwezi kufikia ile ya kisasa
mwingulu ni mtaji kwa wapinzani kw mtu anayepembua kwa umakini. kwani ni beki anayekaribisha mashambulizi golini
watanzania wenzangu hili si jambo la kufurahia. once Robert Nesta Marley said, "how long shall they kill our prophets while we stand aside and look. jamani tusikae tu pembeni nakuangalia tu wakati watanzania wenzetu wanateswa na kuuawa na vyombo vya dola. tuungane tuikomboe nchi yetu kwa manufaa...
nilitegemea dr. aongee mambo ya kujenga nchi na kulikomboa taifa letu katika wimbi la umasikini wa kujitakia. angetumia busara zake kutoa maoni yenye busara kwa wahitimu. sasa hapa anaonesha kuidhalilisha elimu kwa kushabikia sisiem
huyu dr. amechemka, hivi kumbe anafundisha darasani nakupanga kabisa watu wa kusupp? zidhani kama anatumia udaktari wake vizuri. maana sio kama kuna fikra katika hoja yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.