Recent content by Mawere Mtokambali

  1. Mawere Mtokambali

    JamiiForums Tanzania Rich Mavoko kwenda kusign WCB ni jambo la aibu

    Ifike pahala sasa tutambue ya kwamba ni Muda wa Kui inua Bongo Flava Yetu na sio kuikandamiza kwa hizi team zenu Ushuzi mtupu. Kwani Mavoco Kuwa chini ya WCB ama hata huko kwa Mavi gani kuna shida gani kama Muziki wake utazidi kukua na Kuzid kuingiza kipato? Kwan msanii kuwa Chini WCB ama Lebo...
  2. Mawere Mtokambali

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif ajitoa kwenye mazungumzo ya usuluhishi Zanzibar

    We elewa mabo wacha kuzunguka mashambani
  3. Mawere Mtokambali

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif ajitoa kwenye mazungumzo ya usuluhishi Zanzibar

    maamuzi ya tume.
  4. Mawere Mtokambali

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif ajitoa kwenye mazungumzo ya usuluhishi Zanzibar

    Me naona swala hili ni simple sana, Maamuzi yaliyotolewa na tume ya uchaguzi Zanzibar yanapaswa kufutwa, kwa kuwa tume hiyo iliyaona matatizo yaliyojitokeza na kuamua kufuta matokeo hayo.. sasa sioni haja ya kuwa na mvutano wa vyama hivi vikubwa hapa nchini maana tukisema wakae chini kujadili...
  5. Mawere Mtokambali

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    ha ha ha ha hiii kali
  6. Mawere Mtokambali

    JamiiForums Tanzania Hii Lazima Ucheke Hata Kama Umenuna!!!??

    ha ha ha ha haaaaaaa
  7. Mawere Mtokambali

    JamiiForums Tanzania Wachaga nao wapumzike kidogo

    we jamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wacha hiyo kitu aiseeeee
Back
Top Bottom