Recent content by mawazofinyu

  1. mawazofinyu

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

    Analazi yawazazi wake huyo
  2. mawazofinyu

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha kuhoji: 56,000 ni sawa na 10% ya watumishi wa umma, je 90% wao hawastahili nyongeza na malimbikizo yao?

    Ebu tukumbushe kauli yakailuki?alisemaje na kwamwenyekiti yupi?
  3. mawazofinyu

    JamiiForums Tanzania Sina amani wala furaha kwenye ndoa yangu, Nataka niondoke nimuachie kila kitu

    Kama ulikuwa na Noah,before ndoa,iweje Leo umwachie magari?pale mlipochumanae ndipo utaacha,pia Tuma namba yamkeo humu tumshauri,
  4. mawazofinyu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    Mbona chadema wanà alie kuwa mgombea ukuu Wa nchi,na inasemekana nitajiri kuliko yeyote humu,mbona hatumsikii?anaweza pekee yake kumgarimia matibabu,mbona yuko kimya?mbunge Wa ccm kajitolea ndege kukodi kwenda Nairobi ,VP hawa nao?au kunajambo? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mawazofinyu

    JamiiForums Tanzania Sina amani wala furaha kwenye ndoa yangu, Nataka niondoke nimuachie kila kitu

    Palipo namafanikio ya Mme,ujue kuna mke pembeni,sasa kama umeweza kufanikiwa hivyo,alafu unajikinai,unataka kufa? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mawazofinyu

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

    Acha 2020,hadi 2040 wataishia kunawa, Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mawazofinyu

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa mawakili wote wanaopanga kuandamana kesho kwa ajili ya Lissu

    Nyie mnaompenda lisu,mbona hamumkatazi kutoa kauli mbovu dhidi yaserikali?Leo hii mkishaona maji yako shingoni ndio mnabwatuka,subirini zamu yenu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mawazofinyu

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Mpenzi wangu amebakwa

    Ulishaenda polis?
  9. mawazofinyu

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Mpenzi wangu amebakwa

    Nenda polis pata pf3,nenda hospital Dr athibitishe
Back
Top Bottom