Mkuu, mbona hata Nyerere mwenyewe hakuchelewa - yaani miaka mitatu tu tangu tupate uhuru, akakimbilia Muungano? Yote hayo uliyoyataja - gesi, elimu, n.k, ni muhimu. Lakini katika mazingira haya ya katiba mpya, muundo wa serikali ndani ya Tanzania ni kitu cha kujadiliwa. Besides, mabadiliko ya...