Upo sahihi riba ni dhambi, lakini Kuna wakati unapata changamoto ya kipesa,unakuwa hauna chaguo zaidi ya Mkopo wenye riba..ili kutatua hiyo changamoto,kwahiyo ni vizuri kumshauri kitu ambacho kitamsaidia.
Hivi unaamini Israel hesabu zao zilienda sawa?na km kweli Israel waliwamudu wa Iran,lengo lao lilitimia?nachokiamini Israel na Marekani wanatamani hata leo waipindue serikali ya Tehran,na kwenye Ile vita Israel alipanga kufanya mapinduzi ya serikali ila ameshindwa na mbaya hakutegemea kupata...
Pole yao wafiwa .ila wazazi muwe mnaangalia majina ya kuwapa watoto zenu,sasa mtu umempa Jina anaitwa Tatizo, halafu unategemea aweje kwenye maisha yake.
Dah!uwa naheshimu saana mchango wako..ila kwenye Gaddafi hapo Kaka umechemka..na hata huyu wa Burkina Faso,sioni sababu ya kumkosoa Kwa namna hiyo,muda utaongea.
Sasa Mkuu..hii umeandika Kwa wafuasi wa Chadema au Republican wa Marekani??kwani Kuna sababu gani ya kuandika lugha ya watu Kwa ujumbe wa ndugu Mashaka wa sengeremana Juma wa mtwara Kwa lugha ambayo wanaweza wasielewe?
Duh!mjomba mbona una mawazo ya ovyo kiasi hiko?ukimlengeshesha Kwa huyo mwanamme halafu Hana furaha na ndoa yake utaenda wewe?unatapaswa umshauri afanye saana maombi atapata mume,na wewe pia muombee apate mtu/mume sahihi sio kumtafutia mabwana wamkande wakimbie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.