Recent content by maulid jms

  1. maulid jms

    Nauliza ni kwanini mpaka leo vyuo vikuu Afrika Kusini hawasomi bure?

    Hatutaki kukuza uchumi peke nakuuenderezavpia
  2. maulid jms

    Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Bado watu4 mbele yang nkamuone rais lowasa
  3. maulid jms

    Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Bado watu wa4 mbele yangu nkampitishe lowasa
  4. maulid jms

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Yaan ingekuwa nchi inayojitambuwableo walikuwa wanamnyonga rais sema ni tz
  5. maulid jms

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Haibu sannaa tanzania imepita miaka 7 sasa rais ndio anadhubutu kusema ivoo leo kwasababu kesho anastafu ni haibu kubwa sanaa ingekuwa nchi inayojitambua hapo prs anahukumiwa
  6. maulid jms

    Nauliza ni kwanini mpaka leo vyuo vikuu Afrika Kusini hawasomi bure?

    Kabisaa kaka huyu mtoa post hajakomboka kifikra bado ni mtumwa wa fikra na anamawazo tegemezi anamaanisha kitu ambacho south africa wajafanya basi sisi hatuwez fanya uo ni ujinga na umaskin mbna tanzania tulipata uhuru before s.africa
  7. maulid jms

    Nauliza ni kwanini mpaka leo vyuo vikuu Afrika Kusini hawasomi bure?

    Unazungumzia reference non sense kabisaa tufanye tanzania kwan tunashindwa wapi kama inahitajika trion 1.3 per year wanafunzi kusoma bure na wakati kuna makampuni yanasamehewa kodi trion1.4 tuanze tanzania me nafikili tutakuwa case study
  8. maulid jms

    Nauliza ni kwanini mpaka leo vyuo vikuu Afrika Kusini hawasomi bure?

    Tanzania tunaweza fanya kitu nasi tukawa kioo na mfano wa kuigwa duniani kote kwa sababu mali tunazo kwaiyo swala la elimu bure linawezekana mipango na usimamizi tuu...tusipende kuwa watu wakuiga tuu kila nasi tufanye ili tuigwe
  9. maulid jms

    Vunjo: Maboksi 'kura feki' yakamatwa Himo, Kilimanjaro

    Watakaa nazoo majumban mwao mpk ziozee ikulu lowasa tuu
  10. maulid jms

    Vunjo: Maboksi 'kura feki' yakamatwa Himo, Kilimanjaro

    Haiingii akilini iyoo mkubwa
  11. maulid jms

    Vunjo: Maboksi 'kura feki' yakamatwa Himo, Kilimanjaro

    Sasa uku nikutafuta damu kumwagika nasi vinginevo
  12. maulid jms

    NEC ichukue hatua ya dharura kuahirisha huu uchaguzi

    Ifikie hatua mjieshimu nyie alowambia ukawa wanywa viroba nani msikalili maisha ooho
  13. maulid jms

    Dr. Magufuli na Mama Samiah kutogusia katiba kwenye mikutano ya kampeni, Nini tatizo?

    Ccm hawafai tena na sera zao za uongo ambazoo hawatekerezi mwaka wa20 sasa
Back
Top Bottom