Recent content by mauajc

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la TZS 1.5 Trilioni: Serikali yakiri haikupeleka Zanzibar TZS 204 Bilioni

    Sioni ulazima wa kujadili wizi kwa staa,iwezekani serekali hii utuumize na mikodi ya kero watu tumefunga bishara zetu maisha yamesimama kila kitu akiendi kila sekta watu wanalia kisha mtu moja apige 1.5 then wewe uje hapa ututapangie jinsi ya kujadili mwizi
  2. M

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    TTCL juzi tu imepewa mabilioni ya fedha za walipako mbele ya waandishi wa habari,wewe kafaenye utatifi usie jua sio mimi naelewa TTCL 100% ruzuku kujienda pamoja na pacha wake TANESCO
  3. M

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Nani mpotoshaji waziri mkuu anaesema TTCL inategemea ruzuku kujiendeje sasa hapa nani mpotoshaji...
  4. M

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, ameitaka serikali kuwakamata na kuwafikisha mahakamani, watumishi wa umma na wanasiasa waliochangia kufilisika kwa shirika la simu la taifa (TTCL) anaandika Dany Tibason. Akizungumza bungeni mjini Dodoma leo Jumanne, Kubenea alisema, kampuni ya simu ya TTCL...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Haya makampuni, TANESCO & TTCL pamoja na kupata ruzuku kubwa ya serikali lakini ufanisi ni wa kusua sua, wanaishia kununua magari ya kifahari na kuyapiga rangi za ajabu ajabu (TTCL - Njano-Crazy Colour). La kusikitisha zaidi ni kuwa wana wakuu vijana lakini wana mawazo ya kizee mno (kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    TANESCO na TTCL: Pamoja na kupata ruzuku kubwa ya Serikali lakini ufanisi ni mdogo sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    baada ya kugundua tatizo kwanini usipendekeze serekali iondolewe kwakushindwa unapendekeza endelee ijikite katika kutengeneza mazingira ya sekta binafs?
  8. M

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Mkuu asante kwanchango wako mzuri lakini mbona serekali nyingi duniani zimefanyikiwa kuendesha mashirika ya umma kwakutumia nfumo huu ulioshindwa hapa kwetu,naona bado tunapaswa kutafuta mchawi bila kufanya hivyo mifumo yote itabuma au itabumishwa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Mashirika ya umma yalikua mengi sana na viwanda nchi nzima majengo magari hospital nk imebaki historia na machache yaliobaki yanaendeshwa kwa ruzuku ,hii ndio Tanzania
  10. M

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Kwani tatizo nini shida iko wapi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Kwanfano kama shirika la ndege wanatia aibu wale jamaa ni wababaishaji hatari niliwasikia sikukomoja wanaongea propaganda kwenye redio wana hojiwa, kama shida ni bodi kwanini wasi rent bod ya fastjet ikawasaidia
  12. M

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Kwani wakurugenzi wa bodi za mashiraka ya umma ni makada wa ccm au wanaundugu gani na ccm?
  13. M

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Kwanini Tanesco nayo isishindanishwe na makampun mengine kama TTCL ili ikafie mbali hawa wasingeshindanishwa wangetutesa sana kama TANESCO wanavyotusema kukatika kwa umeme kupandisha bei miundombinu ya zamani uzembe na matizo kibao, tungekua tunapata bando za units na umeme wa wireless na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    acha kundaganya watu huu niutapeli mtupu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale kiwanja kinauzwa

    Nusu nakutatika karibu.
Back
Top Bottom