Hbr za cku nyingine njema wadau wa JE? Leo naomba mdau anayefahamu utaratibu mzm wa utoaji wa pesa za kujikimu kwa wanachuo,maana nimeckia wananatoa kwa awamu.Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa michango yenu.
Habari wadau wa jf? Leo kuna tukio baya na la kutisha maeneo ya tabata shule ambapo polisi wamefanikiwa kuokoa wanafunzi wa3 kati ya wa4 baada ya kupata tetesi kutoka kwa mwanafunzi mmoja ambaye inasemekana alifanikiwa kutoroka ndani ya gari hilo baada ya kuvunja kioo cha gari hiyo kwa kile...
Kwa mdau anayejua gharama na upatikanaji wa hostel binafsi au hata magheto ya kupanga kwa maeneo yanayozunguka Nit anijuze wakuu kwani niko first year pande hizo.Ahsanteni kwa michango yenu wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.