Recent content by maturege

  1. M

    Juventus Special Thread

    Sawa gian infatinho naona umeshamfuta refa kazi. Futa basi na hiyo penati turudi mabandani kucheck game au sio rais wa shilikisho la MAPOVU
  2. M

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Hivi bado mapovu ya mlenda yanawatoka watu kuhusu BK ya Cr7 mbona goli la kawaida sana, haya mapovu ya mlenda yanasadifu ubora wa goli......
  3. M

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Cha ajabu media hazijakuonyesha unavyozipiga...... nenda kaoge mkuu
  4. M

    Rais Magufuli awataka Jeshi la Polisi, Mawaziri na watendaji wa Serikali wasijihusishe na ufyekaji bangi mashambani

    Huku kwenu bosi hapingwi......huku kwetu bosi anapingwa kwa hoja na akikubali kukosolewa mambo yanakwenda vizuri nia tuu ni kuboresha. Na mtoa hoja pingamizi hachukiwi
  5. M

    Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    "WAALIMU WAJINGA......." acha kuongea shit mkuu. Unamaanisha ww pia ni mjinga maana umefundishwa na wajinga siyo?
Back
Top Bottom