Aisee uchawi upo hii yako ni cha mtoto mi niliwahi kukaa nyumba moja unanunua nyama kilo tano unaigawa kwenye vikontena kilo moja moja ili iwe rahisi kupika ukitoka kazi asubuhi kuamka unakuta vikontena vimeganda lakini hamna nyama wala tone la damu..! Ukiweka samaki inaliwa hivyo hivyo...
Mkuu hao wanaosema wewe ni mchoyo inaonekana na wao wamepeleka watoto wao kwa ndugu..!
Kwa kifupi mtoto kama wazazi wake wako hai akakae kwao mtu asikutwishe mzigo wa kulea na wao wamekaa wanakula bata, haya maisha hata uwe na hela ulezi wa watoto wako wenyewe ni kazi sembuse uongezewe mtoto...
Mambo ya kufikirika haya! Yaani upewe wanawake na vijana wadogo wa kukutumikia umekuwa nani ww? Kwani hao wafanyakazi wao Mungu hatawapa hiyo raha mpaka wao wabaki kuwa watumishi wako? 😁
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.