Recent content by MATUNGWA JM

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tulivyonusurika kuuawa mkutano wa Chadema ; Ni simulizi za yaliyotokea Arusha

    Historia inaonyesha wakati wa mapambano dhidi ya Mkoloni kupata ya uhuru kila mahali ulimwenguni hali ilikuwa kama inavyotukia leo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika

    Ndugu zangu wana Jamvi tuwe makini sana na habari tunazoambiwa ,lakini pia jambo moja la msingi hapa tujenge mazoea ya kuwa Inquisitive and investigative tukisha kumiliki stadi hizi,Sasa twende mbali zaidi kupanua upeo wetu katika matukio mbalimbali na tujitahidi sana kuwa na uwezo wa kuoanisha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa ukaribisho - Anna Tibaijuka

    Karibu sana jukwaani, Ninaacha dokezo ili Mheshimiwa Tibaijuka ujipange vizuri kabisa.Nikirudi hapa nitajielekeza zaidi juu ya migogoro ya ardhi na makazi katika maeneo ya vijiji vya Kakunyu,Mabare,Bubare ambako wanawanchi wamechomewa nyumba(makazi), kufukuzwa,kufurushwa,kudhalilishwa, na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Newala: Mkuchika na Wana Newala....

    Tuvute subira hapana shaka anaendelea kutafiti kinachojili pale.Usiunajua hapa ni mahali pa kubadilishana mawazo pevu na sahihi,japo ndugu zetu wachache wanataka kupatumia vibaya.Utafiti ni jambo moja la msingi sana kabla hujaandika neno lolote hapa jukwaani ili wenzako wachangie.Na ni vyema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kova: Tuhuma dhidi ya Lwakatare hazihusishi Chama

    Ndugu zangu wana wanchi maswali mengi tujiulize kwanini yote haya na wakati huu?.Yatupasa kutafakari kwa kina na kufikrishana kwa mawazo sahihi yanayotokana na uwezo wa kutunza kumbukumbu si za matukio yaliyopita.Hapa uwezo wa kuoanisha matukio na hali halisi ya maisha yetu ni muhimu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu wakamatwa na TAKUKURU kwa kula rushwa za Tsh 500!

    Hongera TAKUKURU, Kanda ya Mbeya,na Nchi nzima mnachapa kazi kwelikweli,ninawakubari,wakomeshe hao iwe fundisho kwa wengine,peleka mbele ya mahakama sheria iwaandame, kamata wote sweka ndani rushwa za kuku,viranja shule za msingi kununuliwa barafu na wanafunzi wenzao ili watoe namba.Chunguza...
Back
Top Bottom