Recent content by Matunda _Kuniga

  1. Matunda _Kuniga

    Suphian Juma: Nimeng'atuka ACT Wazalendo

    2015 walitoka nje wakati Rais anahutubia Bunge na sio mara ya kwanza kususia chaguzi na kutoutambua, mnawaona viongozi wa CHADEMA kuwa na msimamo kwa sababu hawakushinda hawana cha kupoteza ndio mana wamekaza wote ni wale wale .
  2. Matunda _Kuniga

    Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

    Udikteta unauchukulia poa wewe hilo nelo kalianzisha Lissu wachache kama wewe mmelindandia ,mtu kuitwa Dikteta usichukulie poa kisa kabana rushwa na katimua watushi hewa na kubana wapinzani ndio sifa pekee na Kagame na M7 waitwaje na hao ni baadhi.
  3. Matunda _Kuniga

    Records za Tanzania kimataifa

    Mbona povu ndugu south wanakusanya kodi sisi TRA wakiongea hata swala la Tin kelele zinaanza hizo hela zitatoka kwenye pumb..la baba ako
  4. Matunda _Kuniga

    Baraza la Mawaziri la Rais Mgufuli mbona Raia Wamelipotezea?

    Kwan 2015 ilikuwaje ,usiseme Raia sema wewe na JF
  5. Matunda _Kuniga

    Kweli ICC inatisha. Hadi Sirro kasema watampa Lissu ulinzi

    Kwa hiyo unaamini Chamwino na mji wa serikali hakuna Wi-fe, TCCL broadband ninahakika ofisi nyingi wanatumia na Wi-fe ipo yakutosha Moja ya kazi ya Wi-fe ni kuficha IP adress hivyo restriction website itafunguka bila wasi hata hiyo twitter, naamini TCCL hawajazuia mkongo wa Taifa kuifikia...
  6. Matunda _Kuniga

    Kweli ICC inatisha. Hadi Sirro kasema watampa Lissu ulinzi

    Tupo teknolojia haindanganyi si utaona
  7. Matunda _Kuniga

    Kweli ICC inatisha. Hadi Sirro kasema watampa Lissu ulinzi

    Huijui teknolojia ya hao ISP mbinu zipo nyingi sio lazima Vpn na sio kweli Tanzania nzima net inazingua la hasha, inshu ni minara tu wanabana wanavyotaka wao kulingana maeneo na unaweza kuta maeneo ya balozi, viwanja vya ndege na Ikulu wanaperuzi bila shida. Jiulize vifurushi vya kanda ya ziwa...
  8. Matunda _Kuniga

    Kweli ICC inatisha. Hadi Sirro kasema watampa Lissu ulinzi

    Acha wajifariji ICC ingekuwa dili M7 na Kagame serikali zao zingepelekwa ICC basi ningeamini ila Kabudi atawazima kama mshumaa.
  9. Matunda _Kuniga

    Rais Magufuli: Lukuvi hawezi kuwa Mgombea urais wa CCM 2025 kwa sababu ana umri mkubwa. Ni fursa ya Vijana

    kuna kipindi anaongea kama Rais na kingine kama mwenyekiti elewa hivyo kasema Central Commetee sio kwenye JMT kha ndugu mbona kazi ndogo kulitambua hilo,kwan toka lini Rais anachagua Mgombea Urais kwa vyama vyote na ndiye anakuwa kapita. Kwa utaratibu wao wa Chama hatapenda kumuona mtia nia wa...
  10. Matunda _Kuniga

    Ndio maana alipoahidi kuweka vielelezo vyake hadharani ni miezi 6 sasa hajafanya hivyo?

    Watu ni wajinga sana hawatafuti maarifa kazi ni kuropoka ,MD mgodi wa Mwadui analipwa M50 kwa mwezi kwa mwaka m600 . Huu mshahara wa Rais ni mdogo sana kama mbunge wa kawaida analipwa m12 ,Rais apewe ngapi sasa kama sio kuwashwa hawa watu.
  11. Matunda _Kuniga

    GE2020 Geneva: UN Rights Chief disturbed by harassment of opposition following Tanzania elections

    Hao wote uliowataja elezea vifo vyao vilikuwaje na utoe ushahidi jinsi matukio yalivyokuwa na maeneo waliyokuwepo na nini sababu za vifo hivyo.,na kama uliona askari huyo alieua CDM walichukua hatua gani ?
  12. Matunda _Kuniga

    Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Usitumie vyeti visivyo vyako kufanya kaz serikalini 😀 madhara yake ndio haya.
  13. Matunda _Kuniga

    Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Wewe unayefikiri sawa sawa changia kidogo tuuone uelewa wako.
  14. Matunda _Kuniga

    Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Kwa hiyo akifanya kosa katiba yako inasemaje,ubavu wa kumshtaki mnadhani mnao au mnadanganywa.
Back
Top Bottom