Ukifikiria vizuri utagundua hao jamaa wanao toa bajaji wanasaidia sana.
Mtaani kuna kampuni zinatoa mikopo kwa riba ya 10 to 40% kwa Mwezi
Lakini ukipiga hesabu vizuri hao jamaa ni kama wamekupa mkopo kwa riba ya 5% Kwa Mwezi
Lakini pia wamekupa na idea ya biashara ambayo ni Bajaji.
UKWELI...
karibu kwenye team ya adsense
kuhusu p.obox tafuta mtu,ofisi utumie box lao pIN zikifika utazipata kwa urahisi ila ukihitaji huduma ya box inapatikana kwa 5000.
kuhusu identify verification tumia ID ya mpiga kura.
karibu PM kwa maelezo zaidi
SEHEMU YA KWANZA:
MAHITAJI(TOOLS) YA KUWEZA KUFANIKISHA UUNDWAJI WA ANDROID APPS
Kuna programu kadhaa ambazo zinahitajika ili kuweza kuunda hizi apps, programu hizo ni kama zifuatazo:
1. kompyuta inapaswa iwe na JAVA Development kit (JDK)
Apps za android kwa asilimia kubwa huundwa kwa kutumia...
Katika thread hii tutajifunza namna ya kutengeneza application za android "from the scratch", Japokuwa kuna "platforms" mbalimbali mtandaoni ambazo zinaweza kumsaidia mtu yoyote kuunda apps hata pasipo kuwa na ujuzi wowote kuhusu programming, hapa itakuwa ni tofauti.
Imani yangu wale wote ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.