Ndugu wana jf, katika zoezi linaloendelea la ukaguzi wa vyeti vya sekondari wapo watumishi ambao waliishia elimu ya msingi,katika fani mbalimbali- ualimu, udaktari, uhasibu, uboharia nk wenye diploma na digrii kutoka kwenye vyuo au taasisi zinazohusika na wanafanyakazi vizuri zaidi ya...
Ni ufinyu au ulimbukeni tu wa watu, sisi ni wa tanzania lugha inayofahamika na wengi ni kiswahili, kama huwezi kuchangia kwa lugha ya kiswahili ni bora ukae kimya.
Huyo raia wa kichina aliyechana fedha ya Tanzania, kwanza ameidhalilisha nchi yetu, pili amevunja sheria kwa kuiharibu fedha ya nchi yetu kwa makusudi, naomba afunguliwe mashtaka na atimuliwe hapa nchini.
Sijui sasa tunakoelekea ni wapi, kupewa mkopo ni haki ya kila mwanachuo, kwa sababu mkopo ni deni ambalo baadae litakuja kulipwa, nakumbuka mheshimiwa Rais wetu Magufuli alisema kuwa kila atakayeomba mkopo atapewa, lakini sasa inakuwaje? tunaomba Rais angetoa ufafanuzi wa kina kuhusu jambo hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.