Recent content by Mato Alfred

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata confirmation code

    Nashukuru wametuma
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata confirmation code

    Nimelog in nimekuta wamejaza e-mail yangu mi nikaweka namba ya simu nimerequest lakini hawajatuma.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata confirmation code

    Nimechaguliwa SUA lakini nipo kwenye multiple selection, nataka ku-confirm SUA lakini confirmation code sijatumiwa, nawezaje kuipata hiyo confirmation code? Na mwisho wa ku-confirm ni lini?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kubadili fedha

    Naweza badilisha hii pesa kwenda pesa ya kitanzania?
  5. M

    JamiiForums Tanzania TTCL asanteni kwa kunipunguzia gharama za MB mko vizuri 2GB kwa mwezi 1500

    Nielekeze namna ya kujiunga hii maana sijawahi kutana na kifurushi cha mwezi cha voda
  6. M

    JamiiForums Tanzania Joining instructions

    Haipo mkuuu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Joining instructions

    Naomba mwenye pdf ya joining instructions ya songe girls high school anitumie plz.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Ahsante sana kk
  9. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo QT form two

    Naomba msaada naangaliaje matokeo ya QT form two?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Hii kitu whatsapp haiwezekani?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa maeneo mazuri kwa field ya umeme kwa hapa Dar

    Nipo kimara, ahsante kwa ushauri mkuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa maeneo mazuri kwa field ya umeme kwa hapa Dar

    Mimi nasoma Electrical Engineering first year so nachohitaji ni eneo la field as long as electricity is concerned cjalishi ni majumbani au viwandani
Back
Top Bottom