Nashangaa sana au ndio Baada ya KUKOSA hoja hata content creators wamepotea mtu anaweza andika hafi ukajiuliza amendika kufikisha andiko au ameandika kufata UHALISIA😂
Hili ameandika pambio🚮
Hapa umeandika ili tu upate watu wa kukuhoji au umeandika UHALISIA.
Hiyo maana ya lugha moja unamanisha sote tunajadili bandari Kila mtu anavutia kwake?? Au unamanisha nini mkuu ?
Hii content yako ipoje sijakupata.
Na huyu lisu sasa 😁
Ila sisi chadema bwana hii pikipiki bana basi💔💔
Hii pikipiki inatusaidiaje sasa au ni kwa ajili ya kata TAJWA hapo?
Aise hao wa mchongo piga chini kabisa hawana mchango katika mabadiliko ya nchi zaidi ya kutugandamiza tu.
Naona mambo yanazidi kuwa moto.
✍🏿 Ni dhahili kuwa serikali zetu zinawainambia sana mabeberu ilhali tunajivunia rasilimali zetu na kila kuitwapo leo Kuna KAULI za kujisifu tuna vitu.
Ipo wazi kuwa sisi Kila kitu tunatekeleza na sio tunatengeneza na hii itatutesa itatutafuna na itatumaliza...
😂😂😂
Madam wewe inaonekana unaona mbali, uliona wapi nyoka akajing'ata mkia.
Watu wako busy kutengeneza chain sehemu nyingi ukitajiwa MAJINA ya wataeule fatilia ngazi za juu utakuta Kuna mwenye jina kama sio baba, mama, kaka au dada basi ni mjomba, shangazi na nk wewe niambie kwa njia hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.