Recent content by Mathias Emma

  1. Mathias Emma

    JamiiForums Tanzania Diploma ya Accountancy kwa masomo hayo

    Kwa mwanafunz aliyepata Mathematics F, Geography E na Economics E je anaweza kusoma Diploma ya Accountancy ila mathematics o level alikuwa na C ya mathematics
  2. Mathias Emma

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyekuwa anasoma EGM akapata EEF anaweza kusoma diploma?

    Kuuliza c kosa mkuu mbn mm ni mtumishi nafundisha pia
  3. Mathias Emma

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyekuwa anasoma EGM akapata EEF anaweza kusoma diploma?

    Mtakwimu halmashaur au sehem yyte
  4. Mathias Emma

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyekuwa anasoma EGM akapata EEF anaweza kusoma diploma?

    Kuna mwanafunzi alikuwa anasoma hiyo comb sasa katika matokeo amepata Geography E, Economics E na mathematics F. Je anaweza kuchukua diploma na vipi kuhusu akitaka kurudia paper kwa unafuu zaidi anaweza kubadili comb nyingine mfano achukue HGK AU HGE Na kozi anayotaka kusoma ni statistics.
  5. Mathias Emma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

    Kuzaa nje unatengeneza undugu wako mwanamke muda wwte anaondka aweke kukuamin asikuamin hiyo ibaki juu yake zaid ww komaa na damu yako
  6. Mathias Emma

    JamiiForums Tanzania Sifa ya kusoma degree ni mpaka uwe na ufauru wa masomo mangapi

    Japo nasikia ukiwa na D mbili unaweza kwenda
  7. Mathias Emma

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita mwaka huu yatatoka mwezi wa ngapi

    Usahihishaji VIP lkn
  8. Mathias Emma

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita mwaka huu yatatoka mwezi wa ngapi

    Usahihishaji VIP lkn
  9. Mathias Emma

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita mwaka huu yatatoka mwezi wa ngapi

    Yani matokeo huwa yanawahi kwa muda gani na VIP husahihishaji wa masomo ya geography na economics wapendwa
  10. Mathias Emma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Anaondoka huyo tens akiwa na mimba ya wikii au cku
  11. Mathias Emma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Hapo man yake tutafute hela mishe zooote zitapangika
  12. Mathias Emma

    JamiiForums Tanzania Watu mna siri sana. Kumbe Diamond Platnumz anamiliki Kisiwa na hamsemi?

    Station hujaziona zilizotajwa au c uwekezaji huo
Back
Top Bottom