Recent content by Mathew Mwakilembe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yanga na Manqoba imeisha hiyooo

    Ata hivi tumemchelewesha. Angekuwa anaona timu inapotea angekuwa anakili. Sasa yeye mashabiki tunaona timu hii inapotea, yeye anasifia anasema hapa timu imejiimarisha sana. Mmmmmmh Mpaka tufungwe ndyo muelewe kocha hafaiii?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu hataki kuonywa akikosea, ananuna haongei na mtu hata siku 3

    MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO. wakati wa kumkunja ushaa pita, ukitaka kumpika kubali kutafuta sufulia kubwa ili atoshe. Nyie ndiyo ambao mwanao akigombezwa na mtu mwingine mnanuna na ugomvi juu Haya yamekukuta nawewe. Pole Sisi wengine tulikunjwa angali wa bichi, mzazi akifoka tunajua ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Imane Khalif Aushitaki Mtandao wa X dhidi ya Unyanyasaji Mtandaoni

    Mmmh Huu motooo
Back
Top Bottom