Kwa vile ni mmoja wa wahanga wa kadhia hii nipo mtaani Kwa miaka 11 Sasa Toka nilipohitimu 2015 (Ba. Ed) naweza kuchangia yafuatayo
1.veta si suluhisho bali kilimo ni njia pekee ya kututoa kwenye mkwamo wa ajira tulionao Kwa Sasa
2.hakuna njia ya shortcut ya kufika lengo unalokusudia
3.tuliza...
Ifike wakati serikali iweke bei elekezi kwa mazao yote kama inavyofanya kwa zao la korosho. Kwa jinsi bei ya mbaazi ilivyo kwa mwaka 2025 hakiwezi kupunguza umasikini wa kipato kwa kuwa bidhaa ghafi bei zake zipo chini ukilinganisha na bidhaa za madukani. Haiingii akilinini mkulima auze kilo 4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.