Recent content by Mateshi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya line za TIGO PESA, M-PESA na AIRTEL MONEY

    350,000/= lete nikupe mpesa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Mimi pia ningefurahi kupata hicho kitabu cha muongozo, wisepeny@gmail.com
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    The best ya wil eva drive...hiyo gari inapaa sana...iko na power ya kutosha sana...usipokua muoga hamna mtu anakupita njiani..huo mlio wa engine ndo matata sana...wil recommend foresta 2002 model with turbo charger....ukiwa nayo huwazi mabadiliko ya hali ya hewa maana yenyewe ni all weather...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pump za maji kwa ajili ya umwagiliaji.

    Hongereni sana kwa wale mnaotaka kujiunga na Kilimo cha umwagiliaji....Mimi sina utaalam sana ila naweza nikachangia kitu kwenye hii mada...jaribu kupitia hizi pump below..ni nzuri sana 1.WT40XK3C...Honda trash pump kama shamba lako ni kubwa...4inch 2.Honda WT30XK4C...3inch 3.Honda WH20X high...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Haya tena kwa wale wanaotaka mabasi toka german mercedes benz luxury bus

    Yutong yanatoka china jamani
Back
Top Bottom