Recent content by Materialist

  1. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila; Huu ni mtazamo wake kuhusu sakata la kumvua unaibu katibu CHADEMA Zitto

    Hongera sana Critical KADA fikra nzuri sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Maadhimisho ya Mei Mosi - Mbeya

    Mimi nimeongelea jinsi watu walivyokuwa wamepooza tofauti kabisa na matarajio ya wengi na utofauti pia umeonekana ukilinganisha na mei mosi zilizopita
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Maadhimisho ya Mei Mosi - Mbeya

    Mgeni rasmi kwenye sherehe za mei mosi mjini Mbeya rais Kikwete akiwa anaingia uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine watu walikuwa wamekaa tu kama vile waliopoteza kabisa matumaini na kiongozi huyu wa serikali. Rais alionyesha uso wa furaha na kuwapungia mkono lakini wengi waliendelea kuketi bila...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    Hali ya matukio ya kisiasa kwa sasa ni kiashiria kuwa uhalisia wa misemo ya wazee wetu wa zamani kama vile ngoma ikivuma sana mwisho wake inapasuka, mfa maji haishi kutapatapa, mkataa pema pabaya panamwita inatimia kwa kupitia viongozi wa serikali ya ccm.Tukio liliotokea Arusha la kifo cha...
Back
Top Bottom