Recent content by Mateo Kovasic

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mmejiuliza Sababu za Kutenguliwa DC wa Sumbawanga Jane Nyamsenda? Inachekesha sana!

    Lema mzee wa Bodaboda. Saizi kahamia wapi??
  2. M

    JamiiForums Tanzania New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!

    Back in days, when Advocate mayala alivokua timamu. Baada ya magu akili zako zilibadilika sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

    Unamuita form four failure then unamuogopa?? Si umfate private mmalizane uone huo u-failure wake.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

    Sasa maoni ya watu kama “mdude Chadema” Ndio yanayomshangaza Mheshimiwa Raisi. Mdude Mmawia Erythrocytes Etc.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

    Ila Lema ana point. Ukichukulia juu juu hutoelewa “theme” yake.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala: Nilipokuwa Waziri nilipewa Walinzi kutoka Ikulu sikuruhusiwa kutembea peke yangu. Nilitokea Kwenye Ripoti ya CAG kimakosa!

    Nchi zipi hizo??? Ndo yale yale muanze kusema raisi ni dikteta kwa kufuata ushauri kama huu wako.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi kongamano la BAWACHA siku ya wanawake duniani

    Sabaya anaendeleaje???
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mkubwa yupi anaendesha bodaboda? CCM acheni hadaa

    Ila Lema alikosea sana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi to build 200 million LPG Facility in Kenya with Our money may be!

    Hii “code” ni nshaijua Ni yule aliyewasomesha namba.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Napinga Ramadhani Kailima kuteuliwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi, ni Kada wa CCM

    Me nkajua ni magufuli enzi zake akiwa na nywele.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Iringa: Yanayojiri kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara wa CHADEMA

    Wewe kila mkoa unadai ni ngome ya chadema. In reality/ground ni weupe kama unga wa sembe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Mtu hadi anateuliwa bado unakuwa na shaka ya uraia wake??
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mbeya Waipa Adhabu CHADEMA

    Mmawia na erytrote njooni Mnaitwa huku
Back
Top Bottom