Recent content by Matemba3814

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dead Hand: Mfumo hatari wa Urusi wanaoutumia kumtishia Trump

    A na B zilishaharibu akili za watu,Leo timu A inasema hakuna mchezaji wa timu B anaweza kupata namba timu A, ila msimu unaofata anasajiliwa B na kupata namba A na kusifiwa sana, tusiwe wajuaji wa kila kitu,wanaoongea wataalam wa kivita wewe fundi viatu unabisha
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wahouthi warusha tena makombora kuelekea Israel

    Naweza sema kwenye vita ukiwahi kuvimiliki vyombo vya habari basi wewe ni mfalme wa ulimwengu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini yaanza kuondoa vipaza sauti kwenye mpaka na korea kaskazini

    Nchi za kiarabu haziwezi kuishi kwa Amani lile eneo kwa sababu mbili ambaxo ni(1)uwepo wa Israel (2)Rasimali kama mafuta
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Kikwete alaumiwe?

    Sina Ubaya kabisa na JK,kama ni kweli anashauri ubaya mbona alishasema za KUAMBIWA changanya na za kwako,tuache hisia potofu mama anaupiga mwingi kama ni mapungufu basi ni ya kibinadamu tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wanasema hongera Mama, Jambo lao la July Wameliona. Watakulipa fadhila Oktoba

    Kura yangu anayo kwangu kwa jinsi alivyorudisha promotion yangu ambayo nilikula mwezi mmoja ikakatwa na Magufuli na nyongeza hii ya Leo nitafukuza mtu nyumbani asipoenda kumpigia kura
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole: Kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu, au Makamu wa Rais hutakiwi kugombea urais

    Wakati huu ndio anaongea wakati akiwa ndani ya Chama hakuyaona hayo?, alikuwa nje ya Chama akavutwa akaingia Kwa Nini hakukataa kama CCM ina mapungufu anayoyasema Sasa? wakati ule wa Magufuli watu walipohitaji katiba mpya akasema sio kipaumbele chake kwa wakati huo mbona alikaa kimya?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Israel yashambulia maeneo ya karibu na Ikulu ya Syria

    Huyo ni US ambae kajiita YAHUDI analinda maslahi yake kwa kuhakikisha Waarabu hawapumui
  8. M

    JamiiForums Tanzania Trump asema makombora ya Patriot tayari yametumwa Ukraine

    Msiwe mnawatukana viongozi wa Afrika kuwa hawana akili,Sasa angalia hao tunaowaamini kuwa wana akili wanavyotumikishwa kama watoto,Ulaya inapiganishwa na US na bado hawajitambui,wanadanganywa adui yao ni RUSSIA na kweli wanaamini
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa yasababisha maafuriko New York na New Jersey nchini Marekani

    Sio kobaz nanukuu majanga kama hayo yanapowapata maadui wa US au Israel hiyo kauli ndio inasikika sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa yasababisha maafuriko New York na New Jersey nchini Marekani

    Hapo Yahudi keshafanya yake
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

    Ninachohisi mimi Israel kwa Marekani ni kama Tanzania na Tabora
  12. M

    JamiiForums Tanzania Trump asema Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kujilinda

    Wazungu wana sarakasi nyingi sana na mbwembwe nyingi sana,patriot,S-400 ,Thaad na Irone Dome yote ni mavyuma vyuma tu ya kuwapiga watu hela,suluhisho la hapo nchi kutafuta Amani hayo mavyuma yatakosa pa kwenda
  13. M

    JamiiForums Tanzania Trump asema Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kujilinda

    Hayo mapatriot hayakuwepo pale Tel Aviv?kumbe hata wazungu nao ni wajinga kiasi hicho?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Israel haiyakubali mapendekezo ya Hamas

    Kweli Israel angeikuta Iran ni mnyonge angesitisha vita? jamani tuacheni ushabiki wangekaa sana pale,kumbukeni Israel ni US na pale Irani Kuna mafuta mengi sana na wangekaa sana,hapo inawezekana alipima kina cha maji akaona ni kirefu akasitisha vita
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

    Hayo ni maneno tu kamwe hawezi chezea jeshi imara na lenye nguvu kama jwtz,akumbuke lilikwenda kulinda Amani kwa kivuli cha SADC na sio kwamba maamuzi yalikuwa yanatokea Lugalo,ajaribu kuingia Karagwe au Ngara hata robo kilomita athibitishe maneno yake aone,Ushauri hapa tujihadhari sana kwenye...
Back
Top Bottom