Recent content by MATEGUZYO

  1. MATEGUZYO

    GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC): Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba 28, 2020

    NEC yatangaza tarehe rasmi ya Uchaguzi na Kampeni JUMANNE , 21ST JUL , 2020 NA MWANDISHI WETU Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza tarehe rasmi ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambayo ni Oktoba 28, 2020. Taarifa hiyo imetolewa leo Julai 21, 2020, Jijini...
  2. MATEGUZYO

    Azam yazindua tamthilia ya kichochezi mauaji ya Wakristo, Serikali iko kimya

    mkuu hiyo tamthilia inaitwaje na inarushwa muda gani
  3. MATEGUZYO

    Ajali Hii imegeuka kuwa jambo lingine kabisa

    Hahaaa itakuwa ulikuwa unagonga matako, mwenye hajisifii wala hagongi ovyo ovyo labda ni pesa za urithi
  4. MATEGUZYO

    JNIA imechaguliwa kuingia katika viwanja 8 bora Afrika 2020, tafadhali ipigie kura

    We are glad that JNIA has been nominated among top 8 Africa's leading airport 2020 by World Travel Award Agency. At this stage each airport is supposed to be voted by travelers and airport users to the final stage of ranking. Please visit: "www.worldtravelawards.com/nominees/2020/Africa " to...
  5. MATEGUZYO

    Nina wakati mgumu sana, nahisi nimeambukizwa HIV

    Sasa UKIMWI tena kwa hisia je ungekuwa na CORONA, ebu tulia wewe ukimwi siyo ugonjwa ni tatizo la kisaikolojia
  6. MATEGUZYO

    BBC: Tanzania kuingia uchumi mdogo wa kati wajipange, misaada na mikopo nafuu yote itakoma na haitapata misaada kama zamani na upendeleo wa kifedha

    Kwahiyo unataka tuendelee kuwa kuitwa Nchi maskini ilinradi tusikose misaada, hivi kipi bora kupambana ujitegemee au kuendelea kubweteka ili uwe wa misaada kila siku, wazia siku anayekusaidia akikosa uwezo utaishije
  7. MATEGUZYO

    Naomba maoni yenu kati ya Vitz, Starlet na Suzuki Swift/ Jimmy

    sikuitarget ila siyo mbaya ikikupendeza itolee maelezo mkuu
  8. MATEGUZYO

    Naomba maoni yenu kati ya Vitz, Starlet na Suzuki Swift/ Jimmy

    shukrani sana mkuu kwa maelezo hayo umenishawishi. Aman ya Bwana iwe Nawe.
  9. MATEGUZYO

    Naomba maoni yenu kati ya Vitz, Starlet na Suzuki Swift/ Jimmy

    Kama mada inavyojieleza, naomba maoni yenu kutokana na uzoefu wenu kati ya VTZ, STARLET na SUZUKI SWIFT ipi ni kagari imara na affordable kwa mazingira ya barabara mbovu, fuel cosumption, spare parts, durability, masafa marefu pasipo kusumbua
  10. MATEGUZYO

    Haya jamani sukari hiyo Kanda ya Ziwa

Back
Top Bottom