Kama ni kufuata matakwa ya walio wengi hiyo ndiyo demokrasia na haipingwi. Suala je ni wengi kutoka moyoni na fikra zao au ni wale ambao wanalazimishwa kufuata msimamo wa chama? Je umefuatia mjadala unaoendelea ktk bunge la UK ambapo wabunge wa chama tawala wanaungana na wapinzania kukataa hoja...
Mkuu wanaruhusu hata wanaotamka wazi wazi kuwa wanataka wengine waishi kama mashetani. Maana yake ni kuwa kuwepo na mashetaani weeengi, ili mabaya yaongezeke na roho za watu ziangamie.
Mkuu umesema "Sintashangaa basi, ili kufanikisha hili, kwamba serikali inashirikiana pia na baadhi ya mahakimu". Hili lisikushangaze, maana aliyetekeleza hili la akina Mbowe, tayari kesha zawadiwa ujaji. Nakumbuka alipoulizwa kama kuteuliwa kulikuwa na uhusiano wowote na uamuzi wake wa kufuta...
Paskali unasema "Tusiwateua watu kwa shukrani kwenye key ministries na ukombozi wa taifa hili, lets give the key ministries to the professionals". Ni lini wananchi tulihusishwa ktk teuzi? Kwa nini tutwishwe mzigo usio kuwa wetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.