Recent content by Matapu22

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Steve Nyerere anaongeza thamani gani kwenye ziara ya Rais?

    Tuache kumuonea wivu, Steve Nyerere ni mtanzania, mzalendo mkubwa hivyo anastahili kuwepo katika msafara
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakujawahi kuwa na Mkataba mbaya kama huu wa Bandari, tuamke

    Changamoto kubwa inayotukumba Watanzania ni tabia ya kumeza kila unachokisikia pasipo kujiwekea muda wa kusoma kilichopo mbele yao. Wewe mtu unafikia kupinga jambo pasipo kusoma andiko hivyo kupata uelewa na kujibu hoja badala ya kukurupuka kutoa maoni pasipo kuwa na facts
  3. M

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya SGR Dar mpaka Morogoro yakwama, Vichwa havijakamilika kutengenezwa

    Kwa kweli ahadi zisitimizwa za kuanza safari za treni za SGR kutoka Dar hadi Moro zinaharibu taswira nzuri ya Serikali yetu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali idhibiti hizi taasisi za mikopo holela, watu wanaangamia!

    Mkuu unapatikana wapi, nikuone!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Wakili Moses Kaluwa, mzaliwa wa wilaya ya Nachingwea, Lindi ni mhitimu wa Kitivo cha Sheria, UDSM, baada ya kuajiriwa taasisi mbalimbali za serikali, hivi sana ana kampuni binafsi ya uwakili, Kaluwa Advocates jijini Dar
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Kweli tupu alikuwa mke wa Wakili Msomi Mosses Kaluwa ambaye alipambana na Mangungo katika Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Simba
  7. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anastahili kujengewa mnara

    Watanzania kwa umoja wetu inapaswa tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uhai tukaweza kushuhudia uongozi imara, uliotukuka na mpenda nchi, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe ambaye amepita katika tanuru la mateso hata hivyo hivi sasa yupo mstari wa mbele kusimamia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitetemesha Afrika na dunia, hotuba yake yavunja rekodi ya kufuatiliwa duniani siku ya leo

    Upo sahihi na andiko lako linapaswa liwekwe maktaba liishi milele kwa vile ujumbe wako ni murua na mashiko kwa kizazi hiki na vijavyo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

    Hili Sakata limeshusha hadhi ya Shangazi Fatuma Karume, pamoja na kutua TFF kwa mbwembwe hatimaye mteja wake kaangukia pua
  10. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Mkuu uzi huu umepotoka kwenda mbele, Tido Mhando ni CEO ambaye anachoweka mbele ni technical know how
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Awamu ya Magufuli watu waliporwa mali na fedha

    Tengua Kauli Tata, Mwendazake anastahili kutukuzwa kwa kujenga utendaji nzuri kwa taasisi za umma
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

    Safi Sana kwa uchambuzi uliotukuka. Watanzania tuache mazoea kuwa teuzi zinawahusu watu fulani tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mpira huu Yanga washukuru sana hawakufuzu Champions League, ingekuwa aibu ya rekodi

    Makolo wamezoea kuchonga sana, Hali yao msimu ni taabani kisoka, jana wamecheza ovyo
Back
Top Bottom