Mkuu kila kitu nimeandika humo (mimi ni mpigania uhuru) tena nikaandika (kutokana na miundombinu ya barabara) ninako kaa ni kama hakuna sirikali maana barabara inamahandaki.,soma vizuri
Habari zenu wana Jf,mimi sijambo japo nimechoka kabla hata ya muda wa kuchoka.wakuu labda nianze tu kwa kusema Mimi ni mpigania uhuru tu (mganga njaa ) nilibahatika miaka mi 3 huko kununua gari ambalo nadhani limeanza kuchoka sasa (kutokana na miundo mbinu ya barabara zetu) japo ni mapema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.