Recent content by Matagwamenji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Mwigulu Nchemba,nyumba ya katibu wa CHADEMA yachomwa moto

    Huwezi kujenga taifa imara kama uongozi ni dhaifu. Mbona watawala wa bongo wanashutumiwa kwa mabaya tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Mimi nami niseme kidogo. Kuna jambo ambalo naamini, kwa kuwa sikiamini hata kivuli changu hata mtu mwingine siwezi kumwamini. Kama chadema ni taasisi na itekeleze majukumu yake kitaasisi. Zzk na gl waitwe wahojiwe. Slaa na mbowe wasipuuze mambo haya.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Mimi nami niseme kidogo. Kuna jambo ambalo naamini, kwa kuwa sikiamini hata kivuli changu hata mtu mwingine siwezi kumwamini. Kama chademe ni taasisi na itekeleze majukumu yake kitaasisi. Zzk na gl waitwe wahojiwe. Slaa na mbowe wasipuuze mambo haya.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania chukua maamuzi magumu kutangaza kujitoa EAC!

    Na yeye ni kati ya viongoz wazush, kama tukimpa nchi itakuwaje? kwanini muda wote wizara yake haikutoa taarifa kwa umma mpaka amesubiri bunge? ajitoe tu, hana faida.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wasichana Afrika Kusini waandamana kupinga ushoga

    HIYO NI KIBOKO SANA. KWANI KUOLEWA LAZIMA:A S-key:
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

    Mimi nadhani taifa limepoteza yote mawili. 1. utamaduni wa kuhoji< kuhoj jambo sahh, mahali sahh na kwa chanzo sahh> 2. kuwajibika ama kuwajibishwa na mamlakahucka. JAMBO LILILOTOKEA, Alotaka kujua mambo hayo aloya.andika hakusema kwa chanzo sahh cha majibu, japoamewajibishwa kwa utaratibu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

    Mimi nadhani taifa limepoteza yote mawili. 1. utamaduni wa kuhoji< kuhoj jambo sahh, mahali sahh na kwa chanzo sahh> 2. kuwajibika ama kuwajibishwa na mamlakahucka. JAMBO LILILOTOKEA, Alotaka kujua mambo hayo akloya.andika hakusema kwa chanzo sahh cha majibu, japo amewajibishwa kwa utaratibu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

    Mbona na wewe unaongea umevimba mdau? kama ushauri unampa mtu umetuna hvo kweli ataufuata? kweli mumechanganyikiwa nyie maccm. chadema iko sawasawa sana. ccm mmelinyima taifa utamaduni wa kuwajibika na kuwajibisha. CHADEMA NI MWL WENU HATA KAMA HAMTAKI.
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatutashiriki Kongamano la Amani la TCD, limefadhiliwa na CCM!

    Jamani watz tunakwenda wapi? si vema kujadgji watu. tujadili masuala. hoja zote hapo ni za kweli, amani Inaumbwa na siyo kujadiliwa watu watowe mada wengine wachangie. TUREJEE KWNY MISINGI YA TAIFA<HAKI NA USAWA> MUNGU IBARIKI TANZANIA.
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatutashiriki Kongamano la Amani la TCD, limefadhiliwa na CCM!

    Jamani watz tunakwenda wapi? si vema kujadgji watu. tujadili masuala. hoja zote hapo ni za kweli, amani unaumbwa na siyo kujadiliwa watu watowe mada wengine wachangie. TUREJEE KWNY MISINGI YA TAIFA<HAKI NA USAWA> MUNGU IBARIKI TANZANIA.
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapendwa jamani

    Magamba walijua tutaishia njiani, eti hawafik mbali. chezea pumzi ya dog weye.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je ccm ni bora kuliko chadema 2013...?

    Chadema ni zaidi. mimi nipo kongwa kwa ndugai. madiwan wa ccm wanahaha kuteremsha bendera za chadema badala ya kutekeleza ilani yao ya uchaguzi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuahirisha Uchaguzi wa Madiwani Arusha.. Unaweza usifanyike tena hadi 2015

    Ni pale vijana wote wa tanzania tukijua aina ya taifa tunataka kujenga ndipo ccm itasalim amri. nawapenda sana watu wa arusha. mchango wa G.lema ktk siasa za mageuzi haulipiki. tukomae, chichiem wameshikwa pabaya.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ayub Rioba: Why is Obama ending Africa trip in Tanzania?

    To my opinion, this is a business centred visit. no permanent frnd or enemy. but permanent interests there's smthng. threat outweighs opportunities.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Obama: Wenzetu wanauliza mambo ya msingi, sie tunajadili mawaziri watakaoshikana mkono

    Wakubwa wetu wana wakubwa wao. like father like son. govt yote ni wapiga dili na watafuta umaarufu.
Back
Top Bottom