Recent content by Masuke

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki data zinazowezesha kutumia mtandao intaneti?

    Data ni taarifa tu inaweza kuwa ni documents, photos, videos; kwa hiyo hakuna mmiliki mmoja, ukitaka data za NIDA wao ndo wamiliki, ukitaka za JF wao ndo wamiliki, ukitaka za Yahoo wao ndo wamiliki. Na haziwezi kuisha kwa sababu is not a physical thing, wewe ukihitaji data unaaccess server yao...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki data zinazowezesha kutumia mtandao intaneti?

    Mkuu lakini ushajibiwa, GB na MB ni sawa na kusema Kilometers au Miles zinatengenezwaje. GB ni kifupi cha Gigabyte na ni kipimo cha data, data ni taarifa zinazotumwa katika mtandao, inaweza kuwa ni text, picha, video. Kwa hiyo ili uweze kupata text, picha au video kutoka say JF lazima uwe...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki data zinazowezesha kutumia mtandao intaneti?

    Unachanganya kati ya backbone na Gateways.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki data zinazowezesha kutumia mtandao intaneti?

    Wenye data wengi wanafaidika na matangazo, mfano hiyo 1KB ikifika JF mmiliki anakuwa ni JF na yeye anafaidika na matangazo kutoka kwa makampuni yanayotangaza biashara zao. Kuna data ambazo unaweza kununua na kuna zingine ambazo ni free ili mradi uwe na internet connection.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki data zinazowezesha kutumia mtandao intaneti?

    Hizo MB na GB ni kipimo cha data ambazo utakuwa ama umepakua (download) au umepandisha (upload), kwa hiyo wao kama wao hawamiliki hizo data, wamiliki wa data ni wengine wao wanakusaidia kufikia hizo data zilipo. Mfano huu ujumbe inaweza kuwa ni kama labda 1KB. Hivyo hii data imetoka kwangu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki data zinazowezesha kutumia mtandao intaneti?

    Kimsingi mmiliki wa hizo data ni kampuni uliyojiunga nayo kukupa huduma ya Internet, kwa mfano kama wewe unatumia labda tuseme Halotel, Halotel ndo mwenye control na kiasi cha data kiasi gani unaweza kutumia kwa kasi gani. Makampuni haya nayo yanapata huduma kwa makampuni mengine, mfano Tanzania...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

    Nifah nakusalimia tu, Nisalimie Bantu Lady na Makoye Matale.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Minara ya simu inamilikiwa na nani?

    Kimsingi wote wako sahihi ingawa si sahihi sana. Zamani kila kampuni ya mawasiliano ilikuwa inajenga minara yake yenyewe lakini baada ya mwaka 2010 (sikumbuki mwaka exactly) kampuni ya Helios Towers Tanzania (HTT) iliingia mkataba wa kununua na kumiliki minara yote iliyokuwa ya Vodacom na Tigo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kamdanganya Rais Magufuli juu ya Dodoma kuongoza kimapato; uhalisia wenyewe upo hivi!

    Yeye alikuwa anazungumzia mapato ya Halmashauri ndo maana alikuwa anataja Jiji, Manispaa, Mji na Halmashauri ya wilaya sio makusanyo ya TRA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Piga Kura: Mchezaji Bora wa JF kwa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL)

    Kichuya ni mchezaji bora wa ligi kuu msimu huu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Babu Tale, Fella, hayati Kanumba yana financial freedom kuliko wasomi wengi. Tunakosea wapi?

    Basi ungeandika walioajiriwa dhidi ya waliojiajiri sio waliosoma dhidi ya hao wasanii uliowataja.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Babu Tale, Fella, hayati Kanumba yana financial freedom kuliko wasomi wengi. Tunakosea wapi?

    Watakuwepo wengi tu, Mohamed Dewji wakati anafadhili Simba miaka ya 2000 mwanzoni alikuwa na umri gani? Kuna mwingine anaitwa sijui nani Ngowi, sikumbuki jina lake la kwanza anamiliki kampuni inajihusisha na mambo ya Solar naye ni mdogo na ni tajiri vile vile.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ujio wa kitabu cha Dar es Salaam Usiku

    Nameless girl, hivi vitabu Bado vipi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Karibu tubashiri matokeo ya Gor Mahia vs Everton

    Mkuu upo? Ulimhala?
Back
Top Bottom